Baadhi ya Mawakili na Wanasheria wakiingiza mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa jiji la Dar es salaam Bwa. Mbonea Wilson Kabwe ka...
Familia ya aliyekuwa Mkurugenzi wa jiji la Dar es Salaam, Mbonea Wilson Kabwe wakifuatilia ibada ya kutoa heshima za mwisho ya kuuaga mwili huo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) George Simbachawene akiwakisha salamu za rambirambi kutoka Serikalini wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mkurugenzi wa jiji la Dar es Salaam katika viwanja vya Karimjee, jijini leo.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiwasilisha salamu za rambirambi kutoka ofisi yake wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mkurugenzi wa jiji la Dar es salaam Bw. Mbonea Wilson Kabwe katika viwanja vya Karimjee, leo jijini.
Waziri Simbachawene akitoa heshima za mwisho kabla ya safari ya kuelekea Mamba, Wilayani Same mkoa wa Kilimanjaro kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika Mei 25 2016.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Eng. Raymond Mushi akitoa heshima za mwisho.
Meya wa jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita akitoa heshima za mwisho.
Baadhi ya Ndugu, jamaa na marafiki waliohudhuria ibada hiyo wakijiandaa kutoa heshima za mwisho.
Baadhi ya Ndugu, jamaa na marafiki waliohudhuria ibada ya heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mkurugenzi
wa jiji la Dar es salaam Bw. Mbonea Wilson Kabwe kabla ya safari ya
kuelekea Mamba, Wilayani Same mkoa wa Kilimanjaro kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika Mei 25 2016. (Picha zote na Beatrice Lyimo-Maelezo)
COMMENTS