WAZIRI UMMY MWALIMU AZINDUA TAASISI YA BASILA MWANUKUZI JIJINI DAR LEO

WAZIRI UMMY MWALIMU AZINDUA TAASISI YA BASILA MWANUKUZI JIJINI DAR LEO

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mw...

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu (wa pili kulia), akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Taasisi ya Basila Mwanukuzi (Basila Mwanukuzi Empowerment Foundation) yenye lengo la kusaidia wanawake kuinua uwezo wao wa kibunifu ili kujiinua kiuchumi  hasa Mama Lishe kwa kushirikiana na wadau mbali mbali. Uzinduzi huo umefakika leo Aprili 11, 2016 kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Jijini Dar es salaam. Wengine pichani ni Mwanzilishi wa Taasisi hiyo, Basila Mwanukuzi (kulia), Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jinsia, Timoth Mgonja pamoja na Mwakilishi wa Mama Lishe, Bi. Grace Foya. (PICHA NA OTHMAN MICHUZI - MMG).
 
 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy Mwalimu, akitoa hotuba yake wakati wa Uzinduzi wa Taasisi ya Basila Mwanukuzi (Basila Mwanukuzi Empowerment Foundation), uliofanyika kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Jijini Dar es salaam leo Aprili 11, 2016.
 
 Mwanzilishi wa Taasisi ya Basila Mwanukuzi, Basila Mwanukuzi Empowerment Foundation), Basila Manukuzi, akizungumza machache wakati wa hafla ya uzinduzi wa Taasisi yake hiyo yenye lengo la kusaidia wanawake kuinua uwezo wao wa kibunifu ili kujiinua kiuchumi  hasa Mama Lishe uliofakika leo Aprili 11, 2016 kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Jijini Dar es Salaam.
 
Picha ya pamoja na baadhi wa Wageni wa waalikwa pamoja na Kina Mama Lishe.

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI UMMY MWALIMU AZINDUA TAASISI YA BASILA MWANUKUZI JIJINI DAR LEO
WAZIRI UMMY MWALIMU AZINDUA TAASISI YA BASILA MWANUKUZI JIJINI DAR LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjAxvR7Vao8QK94sOGgDiYANzT1VIaYiyJxRhF3pkq6CMDl4tzF9j8IH3VyjPJjelbNLeKFD4JBTAqq7OY2AUjXxbHV1-EUPaNhYQknx2Udi7GkaKYQz8uk3R79lvfiHlSW36aoFJiCwr2A/s640/MMG_0063.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjAxvR7Vao8QK94sOGgDiYANzT1VIaYiyJxRhF3pkq6CMDl4tzF9j8IH3VyjPJjelbNLeKFD4JBTAqq7OY2AUjXxbHV1-EUPaNhYQknx2Udi7GkaKYQz8uk3R79lvfiHlSW36aoFJiCwr2A/s72-c/MMG_0063.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/04/waziri-ummy-mwalimu-azindua-taasisi-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/04/waziri-ummy-mwalimu-azindua-taasisi-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy