KUISHI MIAKA ZAIDI YA MITANO JIJINI MWANZA BILA KUFIKA ENEO LA SAMAKI NI AJABU

Imezoeleka kuona mtu yeyote akifika Jijini Mwanza, lazima akapige picha katika sanamu ya Samaki ililopo katikati ya Jiji, lakini kw...







Imezoeleka kuona mtu yeyote akifika Jijini Mwanza, lazima akapige picha katika sanamu ya Samaki ililopo katikati ya Jiji, lakini kwangu imekuwa tofauti. Kama umefika hongera ila kama hujafika fanya hima ufike.

Nimeingia Jijini Mwanza kwa mara ya kwanza mwaka 2011, lakini sikuwahi kuwa na wazo la kwenda kupiga picha katika eneo hilo. pengine mtanisaidia ni uzalendo uliniponyoka au ni nini haswa kilinizubaisha.

Katika kipindi chote hicho, sikuwahi kukanyaga eneo la Samaki licha ya kwamba kama si kila siku, basi japo mara moja kwa juma, nimekuwa nikipita katika eneo hilo na kujionea umati wa watu wakipiga picha.

Safari yangu ya miaka mingi kuwa Jijini Mwanza bila kukanyaga eneo la Samaki inahitimishwa Mwaka huu 2016, baada ya ujio wa 102.5 Lake Fm Mwanza, ambapo hatimae nimefika katika eneo hilo na kupiga picha na Wananzengo wenzangu. Hakika hayawi hayawi, hatimae yamekuwa. Japo kukaa zaidi ya miaka mitano Jijini Mwanza bila kufika eneo la Samaki ni ajabu.
Mwananzengo Robert Kasamwa akifurahia ujio wa 102.5 Lake Fm katika eneo la Samaki Jijini Mwanza.


Mtayarishaji wa Makala haya George Binagi-GB Pazzo akifurahia ujio wa 102.5 Lake FM katika eneo la Samaki Jijini Mwanza.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KUISHI MIAKA ZAIDI YA MITANO JIJINI MWANZA BILA KUFIKA ENEO LA SAMAKI NI AJABU
KUISHI MIAKA ZAIDI YA MITANO JIJINI MWANZA BILA KUFIKA ENEO LA SAMAKI NI AJABU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj_pVoM9dpmIevPM6V9XHE03crO4JATJSRWTD0MX6GwNF4U8Z2NmJKKS0BCZY4KnNNUZor2wyGvykYI6bPYaSyXe-d34lh2UfGsk3-uO9C5QwF8HaDhKr2_xjE0-zI26Yt6DHzzsmJRfo4/s640/Lake-Samaki.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj_pVoM9dpmIevPM6V9XHE03crO4JATJSRWTD0MX6GwNF4U8Z2NmJKKS0BCZY4KnNNUZor2wyGvykYI6bPYaSyXe-d34lh2UfGsk3-uO9C5QwF8HaDhKr2_xjE0-zI26Yt6DHzzsmJRfo4/s72-c/Lake-Samaki.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/04/kuishi-miaka-zaidi-ya-mitano-jijini.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/04/kuishi-miaka-zaidi-ya-mitano-jijini.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy