Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi, akisaini kitabu baada ya kuwasili Ikulu hii leo pamoja nae ni Katibu Mk...
Katibu
Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi, akisaini kitabu baada ya
kuwasili Ikulu hii leo pamoja nae ni Katibu Mkuu Ikulu, Peter Ilomo
Makamu
wa Rais, Mh. Samia Suluhu Hassan, akimkaribisha Ofisini kwake, Katibu
Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi, Ikulu Jijini Dar es salaam leo.
Makamu
wa Rais, Mh. Samia Suluhu Hassan, akifanya mazungumzo na Katibu Mkuu
Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi, Ofisini kwake, Ikulu Jijini Dar es
salaam leo. Kushoto ni Katibu Mkuu Ikulu, Peter Ilomo
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi, akitembezwa maeneo mbali mbali ya Ikulu Jijini Dar es salaam leo.

Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi akizungumza na Baadhi ya
Madereva wa Ikulu, wakati akiwa katika ziara ya kutembelea maeneo mbali
mbali ya Ikulu, Jijini Dar es salaam leo.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi, akitembezwa maeneo mbali mbali ya Ikulu Jijini Dar es salaam leo.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi akiwasili Ikulu Jijini Dar es salaam leo.
Katibu
Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi akifanya Mazungumzo na Katibu
Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni Sefue, Ikulu Jijini Dar es salaam
leo. Kushoto ni Katibu Mkuu Ikulu, Peter Ilomo.
![]() |
Makamu wa Rais, Mh. Samia Suluhu Hassan, akifanya mazungumzo na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi, Ofisini kwake, Ikulu Jijini Dar es salaam leo. Kushoto ni Katibu Mkuu Ikulu, Peter Ilomo. PICHA NA IKULU. |
COMMENTS