Mwenyekiti wa TANESCO SACCOS, Somoe Nguhwe akiongea wakati wa mkutano Mkuu wa mwaka wa SACCOS hiyo uliofanyika jijini Dar es Sala...
 |
Mwenyekiti wa TANESCO SACCOS, Somoe Nguhwe akiongea wakati wa mkutano Mkuu wa mwaka wa SACCOS hiyo uliofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti, Thomas Samo na Meneja, Bwana Andrea Hilary. (Imeandaliwa na Robert Okanda) |
 |
Afisa Ushirika Mkuu wa Manisapaa ya Ilala,Francis Luambano akiongea wakati wa Mkutano huo. |
 |
Meza kuu, Kutokea (kushoto) ni Makamu Mwenyekiti, Thomas Samo, Mwenyekiti wa TANESCO SACCOS, Somoe Nguhwe, Meneja, Andrea Hilary na Katibu Mtendaji wa SACCOS family, Habibu Mhezi.
|
 |
Meneja wa TANESCO SACCOS, Andrea Hilary, akijibu hoja wakati wa mkutano Mkuu wa mwaka wa SACCOS hiyo uliofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kushoto (kwake) ni Mwenyekiti wa SACCOS, Somoe Nguhwe na Makamu Mwenyekiti, Thomas Samo. |
 |
Wadau wa TANESCO SACCOS wakijadiliana jambo wakati wa mkutano mkuu wao. |
 |
Wadau wa TANESCO SACCOS wakifuatilia mkutano mkuu wao. |
 |
Wadau wa TANESCO SACCOS wakifuatilia mkutano mkuu wao. |
COMMENTS