KIWANDA CHA TBL ARUSHA CHATOA ZAWADI KWA WALIOFANYAKAZI KWA MIAKA 10 HADI 30

Wafanyakazi wa kiwanda cha Tanzania Breweries Limited (TBL) mkoa wa Arusha waliofanyakazi wa miaka 10 katika kampuni hiyo wa...









Wafanyakazi wa kiwanda cha Tanzania Breweries Limited (TBL) mkoa wa Arusha waliofanyakazi wa miaka 10 katika kampuni hiyo wakiwa wameshika vyeti vya kutambua mchango wao na hundi. Waliosimama nyuma ni maafisa waandamizi wa TBL

Wafanyakazi wa kiwanda cha Tanzania Breweries Limited(TBL)mkoa wa Arusha waliofanyakazi wa miaka 15 katika kampuni hiyo wakiwa wameshika vyeti vya kutambua mchango wao na hundi.Waliosimama nyuma ni maafisa waandamizi wa TBL

Wafanyakazi wa kiwanda cha Tanzania Breweries Limited(TBL) mkoa wa Arusha waliofanyakazi wa miaka 20 katika kampuni hiyo wakiwa wameshika vyeti vya kutambua mchango wao na hundi.Waliosimama nyuma ni maafisa waandamizi wa TBL

Wafanyakazi wa kiwanda cha Tanzania Breweries Limited(TBL)mkoa wa Arusha waliofanyakazi wa miaka 25 katika kampuni hiyo wakiwa wameshika vyeti vya kutambua mchango wao na hundi.Waliosimama nyuma ni maafisa waandamizi wa TBL

Wafanyakazi wa kiwanda cha Tanzania Breweries Limited (TBL) mkoa wa Arusha waliofanyakazi wa miaka 30 katika kampuni hiyo wakiwa wameshika vyeti vya kutambua mchango wao na hundi.Waliosimama nyuma ni maafisa waandamizi wa TBL

Wafanyakazi wa kiwanda cha Tanzania Breweries Limited(TBL) mkoa wa Arusha waliofanyakazi kwa kipindi cha miaka 10 hadi 30 wakikata keki wakati wa hafla ya kwapongeza ilifanyika kwenye kiwanda maeneo ya Themi jijini Arusha.


Maafisa waandamizi wa TBL wakifurahia jambo na mmoja wa wafanyakazi wa muda mrefu mara baada ya kumkabidhi cheti na hundi huku akimskiliza kwa karibu Corperate Affairs Director wa TBL,Geogia Mutagahywa,kushoto ni Afisa Mwajiri ,Kissa Mwasomola.

Wafanyakazi wakijumuika kwenye hafla hiyo

Wana TBL mkoa wa Arusha wakifurahia jambo

Wakifatilia kwa makini 

Meneja Ufundi wa Kiwanda cha TBL mkoa wa Arusha ,Salvatory Rweyemamu (katikati) akifurahi jambo na wafanyakazi wenzake.

Mmoja wa wafanyakazi waliofanyakazi TBL kwa kipindi cha miaka 30 akifanyiwa mahojiano na waandishi wa habari na kusema amekua mtu mwenye furaha kufanya kazi katika kampuni hiyo.

(Imeandaliwa na www.rweyemamuinfo.blogspot.com wa Arusha)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KIWANDA CHA TBL ARUSHA CHATOA ZAWADI KWA WALIOFANYAKAZI KWA MIAKA 10 HADI 30
KIWANDA CHA TBL ARUSHA CHATOA ZAWADI KWA WALIOFANYAKAZI KWA MIAKA 10 HADI 30
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgOLWjgJNVSiWwtNfRB-VrRjQEaii1IhjzsYxeQMdRv7gi1HjiVgkYrBKHVfnXgzN6a33rWCDuEF_KBjPDZhz51UpRlH5aoMiGBVjhDon9hkI5FdBUneqI_ZRo7NV0wzMw-87dlMETHXaiG/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgOLWjgJNVSiWwtNfRB-VrRjQEaii1IhjzsYxeQMdRv7gi1HjiVgkYrBKHVfnXgzN6a33rWCDuEF_KBjPDZhz51UpRlH5aoMiGBVjhDon9hkI5FdBUneqI_ZRo7NV0wzMw-87dlMETHXaiG/s72-c/1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2015/12/kiwanda-cha-tbl-arusha-chatoa-zawadi.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/12/kiwanda-cha-tbl-arusha-chatoa-zawadi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy