WAZIRI MKUU MAJALIWA K MAJALIWA ATEMBELEA TAMISEMI DAR LEO

         Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serik...

 

 

 

 

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa  (TAMISEMI), Jumanne Sajini (kulia) baada ya kuwasili kwenye Ofisi ndogo ya TAMISEMI jijini Dar es Salaam kuzungumza na watumishi Novemba 24, 2015.

(Juu na chini) Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya Wakurugenzi baada ya kuwasili kwenye Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) jijini Dar es Salaam kuzungumza na wafanyakazi Novemba 24, 2015.




(Juu na chini) Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akizungumza na baadhi ya watumishi wa Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) jijini Dar es Salaam Novemba 24, 2015.



Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) jijini Dar es Salaam baada ya kuzungumza nao Novemba 24, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)





COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI MKUU MAJALIWA K MAJALIWA ATEMBELEA TAMISEMI DAR LEO
WAZIRI MKUU MAJALIWA K MAJALIWA ATEMBELEA TAMISEMI DAR LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi24cdXM6eKW9uBY_mBollkem9HO-MlA-i6e37kC5SUwGboUUGECaP289lIp9J9I9EQjfMz1unXYiVFGnFPvVIH2OGYvOXjoevKuj3uc40T9uNSppNPL7kmZcUUm1_DmA3gY_RRdGqF1LEQ/s640/IMGS2920.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi24cdXM6eKW9uBY_mBollkem9HO-MlA-i6e37kC5SUwGboUUGECaP289lIp9J9I9EQjfMz1unXYiVFGnFPvVIH2OGYvOXjoevKuj3uc40T9uNSppNPL7kmZcUUm1_DmA3gY_RRdGqF1LEQ/s72-c/IMGS2920.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2015/11/waziri-mkuu-majaliwa-k-majaliwa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/11/waziri-mkuu-majaliwa-k-majaliwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy