MWANDISHI wa habari na mpiga picha mahiri nchini, Bi. Leah Samike, amechukua fomu za kuwania Ubunge (Viti maalum), S...
MWANDISHI
wa habari na mpiga picha mahiri nchini, Bi. Leah Samike, amechukua fomu za
kuwania Ubunge (Viti maalum), Singida mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi , CCM.
Leah
amechukua fomu Ijumaa Julai 17, 2015 na hivyo kuzidi kuipaisha tasnia ya
habari nchini, ambayo imekuwa ikitoa mchango mkubwa kwa jamii ya watanzania
katika kupashana habari kutoka ndani na nje ya nchi.
Leah
amehawi kufanya kazi kwenye vyombo vya habari vikubwa hapa nchini, ikiwa ni
pamoja na The Guardian, na Mwananchi Communications.
Kwa
sasa
Leah anaedesha shughuli zake mwenyewe zinzaohusiana na mambo ya habari.
Pichani Leah akipokea fomu za kuomba kuwania kiti cha Ubunge (Viti
Maalum), Singida mjini, kutoka kwa Katibu wa CCM, Singida mjini, Magreth
Ndwete, (kushoto). Wanaoshuhudia ni Mama mzazi wa Leah, Bi. Loyce
Samike, na wapili kushoto ni dada wa mgombea Christina Samike. Tukio
hilo lilifanyika leo Ijumaa Julai 17, 2015
COMMENTS