Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akikata utepe kuzindua kisima cha maji kilifadhiliwa na kampuni ya simu ya Zantel kwa ajili...
 |
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akikata utepe kuzindua kisima cha maji kilifadhiliwa na kampuni ya simu ya Zantel kwa ajili ya kituo cha Watoto Wetu Tanzania Kimara Suca Dar es Salaam leo. Wanoaoshuhudia (wa pili kushoto) Afisa Mtendaji Mkuu wa Zantel, Pratap Ghose, Mwazilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo hicho, Evance Tegete wadau wengine. |
 |
Afisa Mtendaji Mkuu wa Zantel, Pratap Ghose akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla ya kukabidhiwa kisima kwa ajili ya kituo cha kulelea watoto yatima cha Watoto Wetu Tanzania Kimara Suca Dar es Salaam leo. Kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, Mwazilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo hicho, Evance Tegete pamoja na viongozi wengine wa kituo na Zantel.
|
 |
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizindua kisima cha maji katika mradi uliofadhiliwa na Kampuni ya Zantel kwa ajili ya kituo cha watoto yatima cha Watoto Wetu Tanzania Kimara Suca Dar es Salaam leo. |
 |
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akimwisha ndoo ya maji, Cecilia Sospeter mmoja wa watoto wanaolelewa kituoni hapo. |
 |
Baadhi ya watoto wanaolelewa kituoni hapo. |
*****************
COMMENTS