Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda (wa tatu kushoto) akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa, (wa pili kushoto) na Mke Naib...
|
Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda (wa tatu kushoto) akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa
Dodoma, Chiku Galawa, (wa pili kushoto) na Mke Naibu Waziri wa Fedha, Naima Malima, katika mazishi ya aliekuwa Mwandishi wa
habari wa TBC Dodoma, Samwel Chamulomo , nyumbani kwa marehemu eneo la
Mlezi Dodoma Mei 20, 2015. Kushoto kwake ni Waziri wa Habari, Utamaduni,
Vijana na Michezo, Dkt, Fenella Mkangala. |
|
Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara
akizungumza katika ibada ya kumwombea marehemu Samweli Chamulomo
iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma, Mei 20, 2015. |
|
Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, Dkt. Fenella
Mukangara akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Samweli Chamulomo baada
ya ibada ya kumwombea marehemu iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo
la Mlezi, Dodoma, Mei 20, 2015. |

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akitoa heshima za mwisho kwa
marehemu Samweli Chamulomo baada ya ibada ya kumwombea marehemu
iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma, Mei 20, 2015. |
|
Mkuu wa Mkoa wa
Dodoma, Chiku Galawa naye akiaga. |
|
Mkurugenzi wa TBC, Clement Mshana akitoa heshima za mwisho kwa marehemu
Samweli Chamulomo baada ya ibada ya kumwombea marehemu iliyofanyika
nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma, Mei 20, 2015. |
|
Baadhi ya Waandishi wa habari wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu

Mke wa aliyekuwa mwandishi wa habari wa TBC, Samweli
Chamulomo,Theresia Bura akitoa heshima za mwisho kwa mumewe marehemu
Samweli Chamulomo ibada ya kumwombea marehemu iliyofanyika nyumbani kwa
marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma, Mei 20, 2015. |
|
Mwili wa mwandishi wa habari wa TBC Samweli Chamulomo ukiwekwa
kaburini katika mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kikuyu mjini
Dodoma, Mei 20, 2015. |
|
Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, DKt. Fenella
Mukangara , akiweka shada la maua katika kaburi la mwandishi wa habari
wa TBC marehemu Samweli Chamulomo yaliyofanyika kwenye makaburi ya
Kikuyu mjini Dodoma, Mei 20, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu) |
COMMENTS