MWIGULU NCHEMBA NAYE ATANGAZA KUWANIA URAIS WA TANZANIA, AKIWA MKOANI DODOMA

Naibu Waziri wa Fedha, na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Lameck Nchemba,akiwa na familia yake, wakati alipowas...



Naibu Waziri wa Fedha, na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Lameck Nchemba,akiwa na familia yake, wakati alipowasili, kwenye ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere uliopo chuo cha Mipango mjini Dodoma, leo Jumapili Mei 31, 2015, muda mfupi kabla ya kutangaza nia ya kuwania urais kupitia CCM. Mwiguklu anakuwa ni mwana CCM wa nne kutangaza n ia hiyo, akitanguliwa na Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Makongoro Nyerere, Waziri wa Chakula na Ushirika, Stephene Wasira, na Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowasa






COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MWIGULU NCHEMBA NAYE ATANGAZA KUWANIA URAIS WA TANZANIA, AKIWA MKOANI DODOMA
MWIGULU NCHEMBA NAYE ATANGAZA KUWANIA URAIS WA TANZANIA, AKIWA MKOANI DODOMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj8un576nyo5-wTHFWyVAxs3vNLJt-8G3w-hNv3pKTioYUg1mmKeSHg3vaketifnE-aOTb5Yk4fR_DImatukUNbgIwoILEy9chTM-GEI0-a-fc99ptpYLK5W-texO3tN5nh51CcrneZmW4/s640/mwigu2.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj8un576nyo5-wTHFWyVAxs3vNLJt-8G3w-hNv3pKTioYUg1mmKeSHg3vaketifnE-aOTb5Yk4fR_DImatukUNbgIwoILEy9chTM-GEI0-a-fc99ptpYLK5W-texO3tN5nh51CcrneZmW4/s72-c/mwigu2.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2015/05/mwigulu-nchemba-naye-atangaza-kuwania.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/05/mwigulu-nchemba-naye-atangaza-kuwania.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy