Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Edward Marks (kushoto), akisalimiana na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzani...
|
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania,
Edward Marks (kushoto), akisalimiana na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato
Tanzania (TRA) , Rished Bade (kulia) katika hafla iliyoandaliwa na benki hiyo
kwa wateja wake, baadhi ya wafanyabiashara na watendaji kutoka taasisi
mbalimbali ili kufahamiana. Hafla hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.
Katikati ni Ofisa Fedha Mkuu wa NBC, Jaffari Matundu. |
|
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania,
Edward Marks (wa pili kulia), akizungumza na baadhi ya wateja pamoja na maofisa wa benki hiyo katika hafla
iliyoandaliwa na NBC kwa ajili ya wateja wake, baadhi ya wafanyabiashara na
watendaji kutoka taasisi mbalimbali ili kufahamiana. Hafla hiyo iliyofanyika
jijini Dar es Salaam. |
|
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania,
Edward Marks (katikati), akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Chemi
Cotex, Lakshmi Narayan Rathi
(kulia) katika hafla iliyoandaliwa na NBC kwa
ajili ya wateja wake, baadhi ya wafanyabiashara na watendaji kutoka taasisi
mbalimbali ili kufahamiana. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto
ni Ofisa Fedha Mkuu wa NBC, Jaffari Matundu. |
|
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania,
Edward Marks (kulia), akifurahi na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya
Sukari ya Kilombero Sugar, Ephraim Mafuru (kushoto) katika hafla
iliyoandaliwa na NBC kwa ajili ya wateja wake, baadhi ya wafanyabiashara na
watendaji kutoka taasisi mbalimbali ili kufahamiana. Hafla hiyo ilifanyika
jijini Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa
NBC, Rukia Mtingwa na Meneja Mahusiano wa benki hiyo, William Kallaghe. |
|
Kamishna Mkuu wa TRA, Rished Bade (katikati)
akilakiwa na Ofisa Fedha Mkuu wa Benki ya NBC, Jaffari Matundu (kushoto)
alipokwenda kuhudhuria hafla hiyo. Kulia ni Theobald Sabi
wa NBC.
|
COMMENTS