Na Mwandishi Wetu Bondia Alen Kamote wa Tanga atapanda ulingoni Mei 2 katika uwanja wa Mkwakwani Tanga kukabiliana na E...
Na Mwandishi Wetu

Promota wa mpambano huo Ally Mwazoa
aliongeza kwa kusema mbali na mapambano hayo kutakuwa na mapambano
mengine yatakayowakutanisha Jacobo Maganga na Fadhili Kea wakati Juma
Mustafa akipambana na Ally Magoma uku Saimon Zabroni akioneshana umwamba
na Hamisi Mwakinyo
na Jumanne Mohamed na Bakari Shendekwa na Zuber Kitandura na Rajabu Mahoja
Mpambano huo unafanyika mkoa wa Tanga
baada ya kutopata burudani ya mchezo wa masumbwi kwa kipindi cha muda
mrefu kidogo hivyo mpambano huo utafuraiwa na wakazi wa Tanga na
vitongoji vyake
Siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za ngumi mabingwa wa Dunia akiwemo Manny Paquaio, Floyd Maywether,
Roy Jones, Miguel Cotto, Linox Lewis, David Haye, Mohamed Ali
na wengine wengi DVD hizo zilizoandaliwa kwa ubora wa hali ya
juu zitakuwa zikiuzwa kwenye mpambano huo na Kocha wa Kimataifa wa mchezo huo. Rajabu Mhamila ‘Super
D’, alisema.
Pia kutakuwa na DVD ili kuweza kuwauzia mashabiki kwa
ajili ya kujifunza Kanuni na Sheria za mchezo huo.
COMMENTS