ELIMU YA BIASHARA (CBE) KUSAIDIA WAGONJWA WANAOLAZWA KATIKA HOSPITALI HIYO.

Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Prof. Emanuel Mjema (katikati) akitoa ufafanuzi kuhusu msaada wa mashuka  90 yaliyotolewa...






Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Prof. Emanuel Mjema (katikati) akitoa ufafanuzi kuhusu msaada wa mashuka  90 yaliyotolewa na chuo hicho katika hospitali ya wilaya ya Mkuranga ikiwa ni sehemu ya mpango wa chuo hicho kutoa huduma kwa jamii

Jengo la Wodi ya watoto la hospitali ya wilaya ya Mkuranga litakalonufaika na msaada wa mashuka yaliyotolewa na chuo cha CBE jana.




Mganga Mfawidhi wa hospitali ya wilaya ya Mkuranga Dkt. Anwar Milulu (kushoto) akizungumza jambo na Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Prof. Emanuel Mjema (kulia) kabla ya kukabidhiwa msaada wa mashuka 90 yaliyotolewa na CBE kusaidia wagonjwa wanaolazwa katika hospitali hiyo.



Baadhi ya viongozi wa Chuo cha Elimu ya Biashara CBE wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa hospitali ya wilaya ya Mkuranga jana.(Picha na Aron Msigwa – MAELEZO.)







COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: ELIMU YA BIASHARA (CBE) KUSAIDIA WAGONJWA WANAOLAZWA KATIKA HOSPITALI HIYO.
ELIMU YA BIASHARA (CBE) KUSAIDIA WAGONJWA WANAOLAZWA KATIKA HOSPITALI HIYO.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjTmuc0dfrNSNBf7EeHuUKsEou9I_K9cOjvYexrMmwYAW0gfgXTMVpE17zDl57DEYEgxQA35spsq0fWPQvLnQXFzuPMRp-kF_7WnjfGCEr06E7MiG6JeARXkhH5dO050q_KGcQL5RRKlbgU/s1600/CBE+-+3.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjTmuc0dfrNSNBf7EeHuUKsEou9I_K9cOjvYexrMmwYAW0gfgXTMVpE17zDl57DEYEgxQA35spsq0fWPQvLnQXFzuPMRp-kF_7WnjfGCEr06E7MiG6JeARXkhH5dO050q_KGcQL5RRKlbgU/s72-c/CBE+-+3.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2015/01/elimu-ya-biashara-cbe-kusaidia-wagonjwa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/01/elimu-ya-biashara-cbe-kusaidia-wagonjwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy