KINANA AANZA ZIARA MKOA WA MANYARA, ATINGA WIYALA YA HANANG

KINANA AANZA ZIARA MKOA WA MANYARA, ATINGA WIYALA YA HANANG  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Katesh w...

KINANA AANZA ZIARA MKOA WA MANYARA, ATINGA WIYALA YA HANANG

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Katesh wilayani Hanang ambapo aliwaambia wananchi wanapaswa kushirikiana na serikali yao katika kuleta maendeleo na kuachana na mambo mengi yanayoendelea kwenye siasa.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Katesh kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika mjini hapo ambapo aliwaambia wananchi CCM imejipanga vizuri sana kiasi cha wananchi wengi kuendelea kuiamini, alisisitiza nchi nzima ofisi za CCM zinajengwa na wanachama wake wakati wapinzani ofisi zao ni za mifukoni.
Mbunge wa Jimbo la Hanang, Dkt. Mary Nagu akihutubia wananchi wa Katesh ambapo pamoja na kueleza mipango ya maendeleo pia alitoa mizinga ya nyuki kwa vikundi vya ujasiriamali.
Mabinti wa Kibarbeig wakifuatilia mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana mjini Katesh.
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Endasak ambao aliwaambia migogoro mingi waliokuwa nayo ni kwa sababu ya kuhusisha kila jambo na siasa,miradi inakataliwa kwa sababu za kisiasa hivyo waweke siasa pembeni wafanye maendeleo.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipiga mpira kuashiria kuzinduliwa kwa  mashindano ya mpira wa miguu ya CCM Cup Endasak, Golikipa aliyekuwa golini wakati mpira unapigwa ni Mbunge wa Jimbo la Hanang Dkt. Mary Nagu.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ,Mbunge wa Jimbo la Hanang Dkt. Mary Nagu,Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye na Mkuu wa Wilaya ya Hanang Christina Mndeme wakishiriki pamoja na wananchi ujenzi wa ofisi ya CCM Tawi la Qaloda.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Basoutu na kuwaambia wachague Viongozi wa kijiji watakaosaidia kuleta maendeleo na si viongozi watakaorudisha nyuma maendeleo na kuwasababishia migongano mikubwa kama ya ardhi inayoendelea sasa.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Waziri Mkuu mstaafu Ndugu Frederick Sumaye baada ya kumaliza mkutano na wanakijiji ambao wanamgogoro wa ardhi wilayani Hanang.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KINANA AANZA ZIARA MKOA WA MANYARA, ATINGA WIYALA YA HANANG
KINANA AANZA ZIARA MKOA WA MANYARA, ATINGA WIYALA YA HANANG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhgzaj0u8-ueNmJCuEcxmhg7Uqmc-OSAtfQpBhyQLb5HRlVpu0DUj13wvLx-sDPxUx_crZyp92Y6prRC_iRPTde1OQYnmN2Cfn9M4xV_UCDESLaw_UHvghvd9EyOoA479ZGyiQV75d74y4/s1600/17.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhgzaj0u8-ueNmJCuEcxmhg7Uqmc-OSAtfQpBhyQLb5HRlVpu0DUj13wvLx-sDPxUx_crZyp92Y6prRC_iRPTde1OQYnmN2Cfn9M4xV_UCDESLaw_UHvghvd9EyOoA479ZGyiQV75d74y4/s72-c/17.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2014/05/kinana-aanza-ziara-mkoa-wa-manyara.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2014/05/kinana-aanza-ziara-mkoa-wa-manyara.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy