Simba akiwa na mtoto wake katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti iliyopo Mkoa wa Mara. Wanyama hao walipigwa picha wakati Mawakili wa Kamp...
Simba akiwa amelala katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti. |
Mawakili wa Kampuni ya Uwekezaji ya VIP Engineering and Marketing Limited kutoka Marekani na Uholanzi wakijiandaa na safari ya kwenda hifadhini. |
Tembo akikatisha barabara katika Hifadhi ya Taifa Serengeti
Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea wa Kampuni ya VIP, James Rugemalira (kushoto), akiwa na mmoja wa maofisa wa kampuni hiyo, Joe Mgaya.
Watalii kutoka nchi mbalimbali wakiwa kwenye geti la kuingia Hifadhi ya Ngorongoro kabla ya kuruhusiwa kuingia hifadhini.
Mwanahabari wa Mtandao wa www. habari za jamii.com- Dotto Mwaibale, akimpiga picha simba (hayupo pichani), aliyelala kando ya barabara katika hifadhi hiyo. |
Mawakili hao wakiwa katika picha ya pamoja na wenyeji wao. |
Mkurugenzi wa kampuni ya VIP Bernadicta Rugemalira (wa pili kushoto) akifurahia jambo pamoja na wageni wake |
Nyati wakiwa kando ya mto uliopo jirani na Hoteli ya Kitalii ya Sopa katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Mwandishi wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, jijini Arusha, Jamila Omary aliyekuwepo kwenye msafara huo ni kama anasema ' hawa inzi aina ya mbung'o binafsi wananikera humu mbugani'
Wanahabari waliongoza na mawakili hao. Kutoka (kulia) ni Faustine Kapama wa Daily News, Jamila Omari wa Channel Ten, Arusha, Dotto Mwaibale, Jambo Leo na Dotto wa Arusha.
Mmoja wa maofisa wa kampuni ya VIP, Resipius Didace akiwa akitafakari jambo kuhusu safari hiyo.
Ndege nao walikumbukwa na mapochopocho.

Mmoja wa maofisa wa kampuni ya VIP, Joe Mgaya akichukua matukio. Kulia ni mtoto wa wakili kutoka Uholanzi, Philip Camillo. |
Mmoja wa maofisa wa kampuni ya VIP, Resipius Didace akiwa akitafakari jambo kuhusu safari hiyo.
Ndege nao walikumbukwa na mapochopocho.
Pundamilia wakivinjari katika hifadhi hiyo.
Fisi akinyonyesha watoto wake.
Maofisa wa Kampuni ya VIP wakipata chakula kabla ya kuendelea na safari.
Msafara huo ukiwa umesimama kwa muda ndani ya hifadhi ya Serengeti kabla ya kuendelea na safari.
Watalii wakimpiga picha simba katika hifadhi ya Serengeti.
Simba jike akiwa amelala na mtoto wake katika Hifadhi
ya Taifa ya Serengeti.
Na huyu naye alinaswa akiwa amepozi juu ya mti
katika hifadhi hiyo
Twiga wakivinjari kwa maringo katika hifadhi hiyo.
Tembo wakiwa katika hifadhi hiyo. (Imeandaliwa na
mtandao wa www. habari za jamii.com.)
COMMENTS