JAJI MKUU MOHAMED OTHMAN CHANDE NA BOSI WA TAKUKURU DKT HOSEA WALIVYOTOA MADA KWA APNAC JANA

JAJI MKUU MOHAMED OTHMAN CHANDE NA BOSI WA TAKUKURU DKT HOSEA WALIVYOTOA MADA KWA APNAC JANA. Jaji Mkuu Mohamed Othman Chande (a...



JAJI MKUU MOHAMED OTHMAN CHANDE NA BOSI WA TAKUKURU DKT HOSEA WALIVYOTOA MADA KWA APNAC JANA.


Jaji Mkuu Mohamed Othman Chande (alivaa tai) akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasis ya Kuzuia na Kupambana na Ruswa Nchini (TAKUKURU), Dk Edward Hosea baada ya kutoa mada katika semina ya Chama cha Wabunge walio katika Mapambano ya Rushwa (APNAC) mjini Dodoma jana. Katikati ni Mwenyekiti wa APNAC, Dkt Mary Mwanjelwa.

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Othman Chande akiteta jambo na Mwenyekiti wa APNAC, Dkt Mary Mwanjelwa pia Katibu Mkuu wake Vita Kawawa wa mtandao huo, wakati wa semina ya Chama cha Wabunge walio katika Mapambano ya Rushwa mjini Dodoma jana. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Asiye na Wizara Maalum, Profesa Mark Mwandosya.

Baadhi ya wanachama wa APNAC wakifuatilia mada katika semina hiyo.



Jaji Mkuu Mohamed Othman Chande (kati), Mwenyekiti wa APNAC, Dkt Mary Mwanjelwa (kushoto) na Mmoja wa Wanachana, Mhe. Hamad Rashid Mohamed wakitoka kwenda kwa picha ya kumbukumbu baada Jaji Mkuu kutoa mada katika semina hiyo.

CHIEF Justice Mohamed Othman Chande (third left) poses for a memorable photo with APNAC (Tanzania Chapter) members during a seminar on corruption issues in Dodoma yesterday. On his (right) is Chairperson of APNAC, Dr Mary Mwanjelwa, Secretary General, Mr Vita Kawawa (left) and the Minister of State (Special Duties) Prof Mark Mwandosya (on his left).

Jaji Mkuu Mohamed Othman Chande, akiagana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Asiye na Wizara Maalum, Profesa Mark Mwandosya. Wanaoshudia ni  Mwenyekiti wa APNAC, Dkt Mary Mwanjelwa (kati) na Katibu Mkuu, Mhe. Vita Kawawa.

Mwenyekiti wa APNAC, Dkt Mary Mwanjelwa akiongoza mijadala ya semina hiyo. Pamoja naye ni Katibu Mkuu, Mhe. Vita Kawawa na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Dkt Edward Hosea (kulia).

Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Dkt Edward Hosea akitoa mada katika semina hiyo. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Haki, Maadili na Madarka ya Bunge, Mhe. John Chiligati.

Mmoja wa wanachama wa APNAC, Mhe. John Komba akimhoji mtoa mada Dkt Hosea uwezekano wa kuwachukulia hatua watu anaodai wamehongwa kutengeneza picha za kumdhalilisha akiwa katika starehe kama wanaweza kuchukuliwa hatua. Mtoa mada alimwahidi akifikisha malalamiko kwa taasis yake itawashughulikia wahusika.


Mwenyekiti wa APNAC, Dkt Mary Mwanjelwa akitoa shukrani kwa washiriki na mgeni Rasmi, Jaji Mkuu, Mohamed Othman Chande kwa kufanikisha semina hiyo.

Mmoja wa wanachama wa APNAC, Mhe. Anne Kilango Malecela akichangia mada katika semina hiyo.

Baadhi ya wanachama wa APNAC wakifuatilia mada.

Baadhi ya wanachama wa APNAC wakifuatilia mada kwa makini.



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Asiye na Wizara Maalum, Profesa Mark Mwandosya akiongea wakati wa kufunga semina hiyo.

Jaji Mkuu Mohamed Othman Chande akitoa mada wakati wa semina ya Chama cha Wabunge walio katika Mapambano ya Rushwa (APNAC) mjini Dodoma jana.

Mfanyakazi wa Bunge aliyebobea kwa maswala ya Habari na Mawasiliano, Owen Mwandumya akitoa mada kuhusu taaluma hiyo katika semina hiyo.


Baadhi ya wanachama wa APNAC wakiwa ktk semina hiyo.

Baadhi ya wanachama wa APNAC wakiwa ktk semina hiyo.

Mshauri wa Ufundi kwa maswala ya Bunge, kutoka shirika la Maendeleo la Kimataifa (UNDP), Anna Hovhannesyan (kulia) akiteta na Mtaalam wa Programu Utawala Bora wa shirika hilo, Godfrey Mulisa wakati wa semina ya APNAC ambapo UNDP ndio walikuwa wadhamini wakuu pia.


Baadhi ya wanachama wa APNAC wakisikiliza mada kwa makini katika semina hiyo.



Baadhi ya wanachama wa APNAC wakifuatilia mada katika semina hiyo. (Na Robert Okandablogspot)







COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: JAJI MKUU MOHAMED OTHMAN CHANDE NA BOSI WA TAKUKURU DKT HOSEA WALIVYOTOA MADA KWA APNAC JANA
JAJI MKUU MOHAMED OTHMAN CHANDE NA BOSI WA TAKUKURU DKT HOSEA WALIVYOTOA MADA KWA APNAC JANA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEihi7Q_YNA8H88d1F4DjddtbMiA6YQoBD31PVnaO9-qO87IwFNLoaGAtnQ6jEMubn0AanZn78UHI3SP_saZi0zrqv0mVlBEkl8rb7MhsFABqS3l9E-ospxHpJ1FNT_17-Zwenr125bJtNU/s1600/DR+HOSEA+NA+CJ.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEihi7Q_YNA8H88d1F4DjddtbMiA6YQoBD31PVnaO9-qO87IwFNLoaGAtnQ6jEMubn0AanZn78UHI3SP_saZi0zrqv0mVlBEkl8rb7MhsFABqS3l9E-ospxHpJ1FNT_17-Zwenr125bJtNU/s72-c/DR+HOSEA+NA+CJ.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2014/06/jaji-mkuu-mohamed-othman-chande-na-bosi.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2014/06/jaji-mkuu-mohamed-othman-chande-na-bosi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy