TANGAZO LA KIFO;MAREHEMU SIJAONA SIMON KUZIKWA KESHO MEI 25, 2015 MAKABURI YA KINONDONI, DAR

TANGAZO LA KIFO;MAREHEMU SIJAONA SIMON KUZIKWA KESHO MEI 25, 2015 MAKABURI YA KINONDONI, DAR Familia ya bwana Sijaona Simon wa Dar es S...

TANGAZO LA KIFO;MAREHEMU SIJAONA SIMON KUZIKWA KESHO MEI 25, 2015 MAKABURI YA KINONDONI, DAR

Familia ya bwana Sijaona Simon wa Dar es Salaam, inasikitika kutangaza kifo cha baba yao mzazi ndugu Simon Malosha kilichotokea siku ya alhamisi tarehe 22/5/2014 saa nane mchana katika hospitali ya TMJ. 

Mazishi yatafanyika jumapili tarehe 25/5/2014 saa tisa mchana katika Makaburi ya Kinondoni, Dar es Salaam. Misa ya kumuaga marehemu na kutoa heshima za mwisho, itafanyika kwa Marehemu Sijaona magorofa ya Urafiki block QA.

Taarifa ziwafikie kaka yake mkubwa William Lukuba wa Nyakato Mwanza, dada yake mkubwa wa Mwanza, waumini wote wa Kanisa la Mlima wa Moto Dar es Salaam ndugu, jamaa na marafiki wote wanao husika na msiba huo.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TANGAZO LA KIFO;MAREHEMU SIJAONA SIMON KUZIKWA KESHO MEI 25, 2015 MAKABURI YA KINONDONI, DAR
TANGAZO LA KIFO;MAREHEMU SIJAONA SIMON KUZIKWA KESHO MEI 25, 2015 MAKABURI YA KINONDONI, DAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjof_F6I5NFGfVYjyCJpqSxsWkhw85G_1Gzy6__nY5b_s4n8cNaLAcF6dMxVhB7tlSM5jCbbwuRWspTEP62OIkYlgDtNflU7QpiO1QxQEHqAB-PMFzLzuEXCJg1UJpVYJESyeR3xoK_zVI/s1600/Marehemu+Simon+Malosha.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjof_F6I5NFGfVYjyCJpqSxsWkhw85G_1Gzy6__nY5b_s4n8cNaLAcF6dMxVhB7tlSM5jCbbwuRWspTEP62OIkYlgDtNflU7QpiO1QxQEHqAB-PMFzLzuEXCJg1UJpVYJESyeR3xoK_zVI/s72-c/Marehemu+Simon+Malosha.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2014/05/tangazo-la-kifomarehemu-sijaona-simon.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2014/05/tangazo-la-kifomarehemu-sijaona-simon.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy