Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) akizungumza na Vijana na wakaz...
|
Naibu Katibu
Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante
Ole Gabriel (kulia) akizungumza na Vijana na wakazi wa Manispaa ya
Iringa wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Vijana Kitaifa kumbukumbu ya
Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere na Kilele cha Mbio za Mwenge
mkoani Iringa.Wengine ni mbunge wa Iringa (kupitia viti maalum) Mh.
Rita Kabati (katikati) na Mkurugenzi wa Idara ya Vijana Zanzibar,
Mohamed Salim Alli.
|
|
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof.
Elisante Ole Gabrie atembelea banda la maonyesho la WAMATA kuona
shughuli zinazotolewa kwa vijana hususan Ushauri nasaha na Upimaji wa
Hiari wa Virus vya Ukimwi mjini Iringa.
|
|
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof.
Elisante Ole Gabrie na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana wa Zanzinbar
Mohamed Salim Alli (wa tatu kutoka kulia) wakiwa na waongoza midahalo
(MC) na shughuli nzima ya Maonyesho ya Wiki ya Vijana katika uwanja wa
Mlandege Iringa.
|
|
Mbunge
wa Iringa Viti Maalum (CCM) Mh. Rita Kabati akiwaasa vijana kuhusu
kujinga na maambukizi ya Ugonjwa wa Ukimwi katika Uwanja wa Maonyesho
wa Mlandege wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Vijana.
|
|
Vijana wa Halaiki wakiendelea na maandalizi ya sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge katika Uwanja wa Samora mkoani Iringa.
|
|
Maandalizi ya sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru 2013 yakiendelea katika uwanja wa Samora mkoani Iringa jana. (Picha na Aron Msigwa- MAELEZO)
|
COMMENTS