Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Sala...
![]() |
|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda huku Makamu wa Rais Dk Mohamed
Ghalib Bilal akiangalia wakati alipowasili JNIA.
|
![]() |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakilakiwa na
viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili uwanjani hapo.
|
![]() |
|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalumu Mhe Rita Mlaki
alipowasili JNIA leo.
|






COMMENTS