Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara (kulia) akimkabidhi bendera ya Taifa, Redd's Miss Tanzania 2012...
![]() |
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara (kulia) akimkabidhi bendera ya Taifa, Redd's Miss Tanzania 2012/13, Brigitte Alfred (katikati) anayetarajiwa kuondoka hivi karibuni kwenda nchini Indonesia kushiriki Mashindano ya Urembo ya Dunia (Miss World 2013). Kushoto ni Mlezi wa Kamati ya Miss Tanzania, Emmanuel Ole Naiko. |
![]() |
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Lino
International Agency ambao ni waandaaji wa shindano la Miss Tanzania, Hashim
Lundenga (kushoto) akimuaga Redd's Miss Tanzania 2012/13, Brigitte Alfred mara
baada ya kukabidhiwa Bendera ya Taifa. Kulia ni Waziri Fenella Mukangara.
|
COMMENTS