Rais Jakaya Kikwete akitia sahihi baada ya kumwapisha Skauti Mkuu Mwantum Mahiza kushika wadhifa huo kwa miaka minne Dar es Salaam leo....
|
Rais Jakaya Kikwete akitia sahihi baada ya kumwapisha Skauti Mkuu Mwantum Mahiza kushika wadhifa huo kwa miaka minne Dar es Salaam leo. Kushoto kwa Rais ni Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Sefue Ombeni.
|
Rais Jakaya Kikwete akimwapisha Skauti Mkuu Mwantum Mahiza kushika wadhifa huo kwa miaka minne Dar es Salaam leo. Kushoto kwa Rais ni Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Sefue Ombeni.
|
|
|
|
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na maskauti katika hafla hiyo Kushoto kwake ni Katibu kuu mstaafu wa Umoja wa Afrika, Dk Salim Ahmed Salim na Jaji Kiongozi, Fakihi Jundu (wa tano kushoto).
|
|
|
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na mbunge wa Viti Maalum Alshayma Kwegiri.
|
|
|
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja tena wakina mama waliomsidikiza Skauti Mkuu Mwantum Mahiza.
|
|
|
Skauti Mkuu Mwantum Mahiza akisalimiana na watangulizi wake.
|
|
|
Skauti Mkuu Mwantum Mahiza akitengenezewa kofia na mtangulizi wake Kanal Mstaafu Idd Kipingu baada ya kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete kushika wadhifa huo kwa miaka minne Dar es Salaam leo.
|
|
Skauti Mkuu Mwantum Mahiza akivishwa kidani maalum na mtangulizi wake Kanal Mstaafu Idd Kipingu baada ya kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete kushika wadhifa huo.
|
|
Skauti Mkuu Mwantum Mahiza akivishwa rasmi mavazi ya kazi mtangulizi wake Kanal Mstaafu Idd Kipingu.
|
|
Skauti Mkuu Mwantum Mahiza akitengenezewa kidani maalum na mtangulizi wake Kanal Mstaafu Idd Kipingu baada ya kuapishwa
|
|
Skauti Mkuu Mwantum Mahiza akipigiwa salute na Kanal Mstaafu Idd Kipingu baada ya kuapishwa.
|
Skauti Mkuu Mwantum Mahiza akiwa na familia yake. Kushoto kwake ni Mume wake, Bakari Mahiza, wanawe, Hidaya (kushoto), Mwanaidi (wa tatu kushoto) na Seif (kulia).
|
Rais Jakaya Kikwete akibadilishana nao mawazo.
|
|
Rais Jakaya Kikwete akiwa na baadhi ya wabunge maskauti.
|
|
|
COMMENTS