Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Mfalme Mswati wa II wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Kimataifa wa...
|
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Mfalme Mswati wa II wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam Juni 26, 2013. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe.
|
|
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Mfalme Mswati II, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA). Mfalme Mswati wa II yupo nchini kuhudhuria mkutano wa Kimataifa wa Smart Partinership wa utakaoanza Juni 28 mpaka July 1.
|
|
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Mfalme Mswati II, kwenye uwanja wa JNIA.
|
|
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Mohammed Gharib Bilal, akiongea na Mfalme Mswati II uwanjani hapo. Kushoto ni Mke wa Mfalme huyo. (Picha na OMR)
|
COMMENTS