Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma May 6,2013. Waziri M...
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma May 6,2013. |
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mbunge wa Wawi Hamad Rashid (kulia) wakiteta na Mbunge wa Viti Maalum Riziki Lulida kwenye viwanja hivyo. |
Waziri Mkuu akisikiliza kwa makini jambo kutoka kwa Mbunge wa Viti Maalum Riziki Lulida kwenye viwanja hivyo. Kulia Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid. |
COMMENTS