Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan Kijazi akionesha Tuzo na vyeti alivyokabidhiwa na Rais wa taasis ya Maajabu Saba y...
|
Mkurugenzi
Mkuu wa Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan Kijazi
akionesha Tuzo na vyeti alivyokabidhiwa na Rais wa taasis ya Maajabu
Saba ya dunia, Dk Phillip Imler (kushoto) katika hafla ya kutangazwa rasmi vivutio
vya kitalii vilivyoshinda na kuingia katika maajabu Saba ambavyo ni
Mlima Kilimanjaro, Bonde la Ngorongoro na Mbuga ya wanyama ya
Serengeti.Hafla hiyo ilifanyika mjini
Arusha Februari 11 2013. Kulia ni Waziri Mkuu wa Tanzania, Mizengo
Pinda aliyekuwa mgeni rasmi na Waziri wa Utalii, Wanyama Pori na Mambo
ya Kale wa Uganda, Agness Akior Ugunyu.
-

ya Kale wa Uganda, Agness Akior Ugunyu. (Picha na mpiga picha wetu)
|
COMMENTS