VITAMBULISHO VYA ZANZIBAR AWAMU YA KWANZA VYATOLEWA

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikaribishwa na Mkurugenzi Mkuu wa vitambulisho vya Taifa...


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikaribishwa na Mkurugenzi Mkuu wa vitambulisho vya Taifa, Dickson Maimu, alipowasili katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani, Nje ya Mji wa Zanzibar, katika utoaji wa vitambulisho vya Taifa,awamu ya  kwanza kwa upande wa Zanzibar. Wanaoshudia ni Waziri wa Sheria na Katiba Mathias Chikawe (wa pili kulia) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Zanzibar, Dk Mwinyi Haji Makame.

Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji, akiweka dole Gumba kufanya uhakiki katika mashine maalum, wakati wa zoezi hilo.

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Pandu Ameir Kificho, akiweka dole gumba kufanya uhakiki katika mashine maalum pia

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Devis Mwamunyange, akiweka dole akishiriki pia zoezi hilo kwa kuweka dole gumba.

Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein akiakikiwa kwa kuweka alam ya dole gumba. Kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Perera Ame Silima na Abdalla Mmanga Omar, Afisa Vitambulisho (kushoto).


Baadhi ya Viongozi na Wananchi,na Wafanyakazi wa Mamlaka ya vita mbulisho wakiwa katika hafla hiyo.

Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi kitambulisho Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi (kulia), wakati wa  Utoaji wa vitambulisho vya Taifa.


Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi kitambulisho Jaji Mkuu wa Zanzibar, Omar Othman Makungu

Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi kitambulisho Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman


 Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi kitambulisho Jaji Mkuu wa Tanzania, Mama Maria Nyerere kitambulisho.


Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein mke wa Makamu wa Pili  wa Rais, Mama Asha Seif.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: VITAMBULISHO VYA ZANZIBAR AWAMU YA KWANZA VYATOLEWA
VITAMBULISHO VYA ZANZIBAR AWAMU YA KWANZA VYATOLEWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhO_Nzg1eOIX1uzEcEi8OzwXnF-EBf53raJqWa_uccFLFjxpXMeNpYpls8n1XW8XDtsgUdx2kSIu5Bvga51ueonYaQybz5jRl-_8P1ngPW6at0WjyCtAPz5_CMu1HCFyYtmbkRQgE8-5C7j/s400/IMG_0018.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhO_Nzg1eOIX1uzEcEi8OzwXnF-EBf53raJqWa_uccFLFjxpXMeNpYpls8n1XW8XDtsgUdx2kSIu5Bvga51ueonYaQybz5jRl-_8P1ngPW6at0WjyCtAPz5_CMu1HCFyYtmbkRQgE8-5C7j/s72-c/IMG_0018.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2013/02/raiswa-zanzibar-na-mwenyekiti-wa-baraza.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2013/02/raiswa-zanzibar-na-mwenyekiti-wa-baraza.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy