RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA UWANJA WA NDEGE WA KIGOMA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wananchi wa Kigoma wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma Februari 4, 2013. ...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wananchi wa Kigoma wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma Februari 4, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na viongozi wengine akikata utepe kuzindua  ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkurugenzi mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Uganda na Burundi, Phillipe Dongier (kulia), wakifunua kitambaa cha jiwe la msingi katika uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wananchi wa Kigoma wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezana na mkurugenzi mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Uganda na Burundi, Phillipe Dongier baada ya uzinduzi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na viongozi wengine baada ya uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi mbalimbali wakipata maelezo juu ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa Kigoma toka kwa mhandisi George Sambali wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma.
Msanii wa kizazi kipya Nasibu Abdull 'Diamond' (wa pili kushoto) na kundi lake wakitumbuiza wakati wa sherehe za  uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma
Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Uganda na Burundi, Phillipe Dongier akitoa hotuba kwa kiswahili fasaha wakati wa sherehe za uzinduzi huo.
Rais Jakaya Kikwete akiongea na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Muungano eneo la Kibaoni wilayani Uvinza, Kigoma, akiwa njiani kuelekea mjini Kigoma, akitokea kukagua ujenzi wa daraja la Mto Malagarasi. (Picha na Ikulu)









COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA UWANJA WA NDEGE WA KIGOMA
RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA UWANJA WA NDEGE WA KIGOMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgF5jBC6UZLr7vn6-o3apXpEOEn1RR2FpiRjD4MGm55U5HzLOT3E049zuWjFBmxeYPYAcOmgagKmthA7TpqF6Ap814iH5u_-Eh3SjHG_df_irbb0G3Wb_vlNSa9dlvbmUcG0e5KxWXOq9rJ/s640/jk1-721290.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgF5jBC6UZLr7vn6-o3apXpEOEn1RR2FpiRjD4MGm55U5HzLOT3E049zuWjFBmxeYPYAcOmgagKmthA7TpqF6Ap814iH5u_-Eh3SjHG_df_irbb0G3Wb_vlNSa9dlvbmUcG0e5KxWXOq9rJ/s72-c/jk1-721290.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2013/02/rais-kikwete-azindua-ujenzi-wa-uwanja.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2013/02/rais-kikwete-azindua-ujenzi-wa-uwanja.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy