Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein akikata utepe kufungua zawia ya Tumbatu Jongowe, Febr...
Baadhi ya waumini wa Dini ya Kiislamu wa Tumbatu Jongowe na vijiji jirani walioalikwa katika maulidi ya Mtume Muhammad (SAW) wakiwa katika zawia ya kijijini hapo palipofanyika Maulid hayo. |
Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, (kushoto) akitia ubani kuyafungua Maulid ya Mtume Muhammad (SAW) yaliyofanyika Tumbatu Jongowe. Kulia ni Kadhi Mkuu Sheikh Khamis Haji. |
Baadhi ya akina mama wa Tumbatu Jongowe na vijiji jirani walioalikwa katika maulidi ya Mtume Muhammad (SAW) wakiwa nje ya zawia ya kijijini hapo palipofanyika Maulid hayo |
Mwanafunzi Mhadi Haji Vuai wa madrasa Nurmunawar ya Tumbatu Jongowe akisoma maulid ya Mtume Muhammad (SAW) mlango wa kwanza yaliyofanyika jana katika zawia ya kijijini hapo. |
Wanafunzi
wa madrasatul Maamur ya Tumbatu Jongowe wakisoma Qaswida wakati wa maulid ya
Mtume Muhammad (SAW) yaliyofanyika jana katika zawia ya kijijini hapo. (Picha
na Ramadhan Othman) |
COMMENTS