RAIS AANDAA DINNER BALOZI WA HISANI IKULU

Balozi wa Hisani wa UNICEF pia mwanamuziki mkongwe wa Afrika Kusini Vyone Chakachaka akiimba na watoto katika hafla ya chakula cha ji...


Balozi wa Hisani wa UNICEF pia mwanamuziki mkongwe wa Afrika Kusini Vyone Chakachaka akiimba na watoto katika hafla ya chakula cha jioni iliyaondaliwa na Rais Jakaya Kikwete kwa Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) Ikulu Dar es Salaam juzi.
Rais Jakaya Kikwete akipokea CD mpya kutoka kwa Balozi wa Hisani wa UNICEF pia mwanamuziki mkongwe wa Afrika Kusini Vyone Chakachaka katika hafla ya chakula cha jioni iliyaonadaliwa na Rais Jakaya Kikwete kwa Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) Ikulu Dar es Salaam juzi.

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mama Graca Machel, Mke wa Rais mstaafu wa Afrika Kusini Nelson Mandela wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) ikulu Dar es Salaam juzi. Wanaotizama ni mke wa Rais wa Zambia Mama Satta, Mwenyekiti wa GAVI Dagfinn Hoybraten na Dr. Seth Berkley, CEO of GAVI. (Picha na Ikulu)


COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS AANDAA DINNER BALOZI WA HISANI IKULU
RAIS AANDAA DINNER BALOZI WA HISANI IKULU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEimocLOgZcj-fSADvGD1V4VHVOrKnN8rLnEx38VsNRd6q5EdraNb3WnDl4fi4TY3JORiTncYxY0gIktO6I8rCFsiCm0_S35Qh7haQzEukKljRn4BL16uV19JdxqwYjeusWf-l-jsOQDbxsx/s400/IVON.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEimocLOgZcj-fSADvGD1V4VHVOrKnN8rLnEx38VsNRd6q5EdraNb3WnDl4fi4TY3JORiTncYxY0gIktO6I8rCFsiCm0_S35Qh7haQzEukKljRn4BL16uV19JdxqwYjeusWf-l-jsOQDbxsx/s72-c/IVON.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2012/12/rais-aandaa-dinner-balozi-wa-hisani.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2012/12/rais-aandaa-dinner-balozi-wa-hisani.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy