KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA YAKAGUA UJENZI WA OFISI ZA UHAMIAJI MKOANI MTWARA

Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya nje, ulinzi na usalama, Mhe. Mussa Zungu (kushoto) akisalimiana na afisa uhamiaji Mkoa ...






Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya nje, ulinzi na usalama, Mhe. Mussa Zungu (kushoto) akisalimiana na afisa uhamiaji Mkoa wa Mtwara, James Mwanjotile (kulia) wakati kamati hiyo ilipoenda kukagua ujenzi wa ofisi za uhamiaji Mkoa wa Mtwara leo tarehe 19 Machi, 2018 Mkoani Mtwara

Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya nje, ulinzi na usalama wakimsikiliza kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara (hayupo kwenye picha) akizungumza wakati wa kupokea na kujadili taarifa ya kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa katika kikao kilichofanyika leo katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa.

Makamu Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya nje, ulinzi na usalama, Mhe. Salum Rehani akizungumza jambo wakati wa kupokea na kujadili taarifa ya kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa katika kikao kilichofanyika leo ofisini kwake Mkoani Mtwara.

Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya nje, ulinzi na usalama, Mhe. Mussa Zungu (katikati) akisisitiza jambo pale kamati hiyo ilipokuwa inakagua ujenzi wa ofisi za uhamiaji Mkoa wa Mtwara leo tarehe 19 Machi, 2018 Mkoani Mtwara.

Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya nje, ulinzi na usalama, Mhe. Mussa Zungu (kulia) akipokelewa na katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (kushoto) wakati kamati hiyo ilipoenda kukagua ujenzi wa ofisi za uhamiaji Mkoa wa Mtwara leo tarehe 19 Machi, 2018 Mkoani Mtwara. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA YAKAGUA UJENZI WA OFISI ZA UHAMIAJI MKOANI MTWARA
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA YAKAGUA UJENZI WA OFISI ZA UHAMIAJI MKOANI MTWARA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgU-19j8Re55A-NN17tO6jt2N3KWUXNaqtmFgtjSR7ygfANFm_cZgZSUNiouD6IVOX4lFZoXIF2eyrx9CsvpOJt82kAW_AiQ6lhGoA87EegSxIEdXa4YOmD0GA5djLT_VwRRn1C6dwkF5w/s640/IMGL5386.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgU-19j8Re55A-NN17tO6jt2N3KWUXNaqtmFgtjSR7ygfANFm_cZgZSUNiouD6IVOX4lFZoXIF2eyrx9CsvpOJt82kAW_AiQ6lhGoA87EegSxIEdXa4YOmD0GA5djLT_VwRRn1C6dwkF5w/s72-c/IMGL5386.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2018/03/kamati-ya-kudumu-ya-bunge-ya-mambo-ya_20.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/03/kamati-ya-kudumu-ya-bunge-ya-mambo-ya_20.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy