F IGP SIMON SIRRO AFANYA UKAGUZI WA MRADI WA UJENZI MAKAO YA POLISI DODOMA | RobertOkanda

Thursday, March 15, 2018

IGP SIMON SIRRO AFANYA UKAGUZI WA MRADI WA UJENZI MAKAO YA POLISI DODOMAMkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akikagua mradi wa maendeleo wa  Makao Makuu ya Jeshi hilo unaotekelezwa katika mkoa wa Dodoma, Machi 15, 2018, mradi ambao unatarajiwa kukamilika hivi karibuni. (Picha na Jeshi la Polisi)

Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akitoka kukagua mradi wa maendeleo wa  Makao Makuu ya Jeshi hilo unaotekelezwa katika mkoa wa Dodoma, leo mradi ambao unatarajiwa kukamilika hivi karibuni..0 comments:

Post a Comment