PROFESA NDALICHAKO, NA MASAUNI WATOA MKONO WA POLE KWA WAFIWA, KIFO CHA MWANAFUNZI ALIYEPIGWA RISASI

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Prof Joyce Ndalichako pamoja na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ,Injinia Hamad Masauni wa...





Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Prof Joyce Ndalichako pamoja na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ,Injinia Hamad Masauni wakimfariji Mama Mzazi wa marehemu Akwiline jioni ya leo Mbezi Kimara jijini Dar,Mwanafunzi huyo wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji(NIT) amepoteza maisha baada ya kupigwa risasi Februari 16 mwaka huu eneo la Mkwajuni jijini Dar es Salaam wakati Polisi walipokuwa wakizuiya maandamano ya chama cha CHADEMA. Kufuatia kifo cha Mwanafunzi huyo Serikali imesema itabeba jukumu la Mazishi yake.


Aidha Rais Dkt John Pombe Magufuli amesema amesikitishwa sana na kifo cha mwanafunzi huyo,Akwilina Akwilini wa Chuo cha Usafirishaji (NIT)."Natoa pole kwa familia,ndugu,wanafunzi wa NIT na wote walioguswa na msiba huu.Nimeviagiza vyombo vya dola kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua za kisheria waliosababisha tukio hili",Ilisema sehemu ya taarifa yake iliyotolewa mapema leo.



Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Prof Joyce Ndalichako (tatu kulia) akiwafariji Mama Mzazi wa marehemu Akwiline pamoja na ndugu jioni ya leo Mbezi Kimara jijini Dar, Mwanafunzi huyo wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) amepoteza maisha baada ya kupigwa risasi Februari 16 mwaka huu eneo la Mkwajuni jijini Dar es Salaam wakati Polisi walipokuwa wakizuiya maandamano ya chama cha CHADEMA.


Mama wa Marehemu Akwiline akilia kwa uchungu mara baada ya kuona viongozi wa Waandamizi wa serikali walipofika nyumbani kwake,Mbezi Kimara jioni ya leo kwa lengo la kutoa pole na kufahamu taratibu mbalimbali za msiba huo.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: PROFESA NDALICHAKO, NA MASAUNI WATOA MKONO WA POLE KWA WAFIWA, KIFO CHA MWANAFUNZI ALIYEPIGWA RISASI
PROFESA NDALICHAKO, NA MASAUNI WATOA MKONO WA POLE KWA WAFIWA, KIFO CHA MWANAFUNZI ALIYEPIGWA RISASI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjmO6hh5lAAmlFZFSM0AllN-ANO_ytgMaY4HhyphenhyphenESlt-tHBiN2NKGDURdLHWAJ30Z-E4mNwr29TZK9pFlD1tWlSiBkjtWzIc9xqcVhLGVp6uFm-zknCr9myN0_LO-kKfLvsgFEgim7uNoxO6/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjmO6hh5lAAmlFZFSM0AllN-ANO_ytgMaY4HhyphenhyphenESlt-tHBiN2NKGDURdLHWAJ30Z-E4mNwr29TZK9pFlD1tWlSiBkjtWzIc9xqcVhLGVp6uFm-zknCr9myN0_LO-kKfLvsgFEgim7uNoxO6/s72-c/1.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/profesa-ndalichako-na-masauni-watoa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/profesa-ndalichako-na-masauni-watoa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy