FIFA NA CAF KUENDELEA KUFIKIRIA NAMNA YA KUISAIDIA ZANZIBAR

Na Anitha Jonas – WHUSM 24/02/2018 Dar es Salaam Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) Gianni Infantino na Rais wa Shi...


Na Anitha Jonas – WHUSM
24/02/2018
Dar es Salaam
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) Gianni Infantino na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) Ahmad Ahmad wakiri kuelewa hali ya Zanzibar pamoja na kuzingatia Sheria wamesema wanaona mazingira Maalum ya Zanzibar.

Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mambo mbalimbali serikali iliyozungumza na Marais hao wa mashirikisho ya mpira wa miguu kwa ngazi ya bara la Afrika na Dunia walipofika nchini hivi karibuni kwa ajili ya kufanya mkutano wao wa kuandaa ajenda za mkutano mkuu wa dunia.
‘’Marais hao walisema kuondolewa kwa Zanzibar katika uanachama wa CAF kulizingatia sheria zinazosimamia Shirikisho hilo lakini pamoja na hayo waliamua kuiachia  Zanzibar kuendelea kufaidika na  fursa zote wanazopatiwa wanachama wa CAF  isipokuwa kuwaruhusu kupiga kura, pia wanasema wataangalia zaidi ya hilo maeneo mengine namna ya kuisaidia Zanzibar,''Dkt.Harrison Mwakyembe.
Akiendelea kuzungumza katika Mkutano huo Mheshimiwa Mwakyembe alisisitiza kuwa Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa alieleza kwa ufasaha mgogoro huu wa soka kwa viongozi hao wenyedhamana na mashirikisho hayo nao kumuelewa ambapo walisisitiza kuhitaji serikali kuendelea kushauriana nao katika suala hilo.

Pamoja na hayo nae Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia aliwasihi wapenzi wa soka nchini kuendelea kuwa watulivu kwani suala hilo linashughulikiwa na viongozi wa ngazi za juu nao wanalifahamu

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: FIFA NA CAF KUENDELEA KUFIKIRIA NAMNA YA KUISAIDIA ZANZIBAR
FIFA NA CAF KUENDELEA KUFIKIRIA NAMNA YA KUISAIDIA ZANZIBAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiQMa_D1qiuliRpnPX6pYzQe_gB3tawkSl8uLglttByytHmMlUJWbnpAgbgMk7lKQaAbnME-LJ0Ofc54hwy2e1Uah8EchNJ0Sk4slY0_jEKcT3u-QmOjtGQu_SL3RdL8PEeInb9opnQwSA/s400/PIX+1+%25282%2529.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiQMa_D1qiuliRpnPX6pYzQe_gB3tawkSl8uLglttByytHmMlUJWbnpAgbgMk7lKQaAbnME-LJ0Ofc54hwy2e1Uah8EchNJ0Sk4slY0_jEKcT3u-QmOjtGQu_SL3RdL8PEeInb9opnQwSA/s72-c/PIX+1+%25282%2529.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/fifa-na-caf-kuendelea-kufikiria-namna.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/fifa-na-caf-kuendelea-kufikiria-namna.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy