CHAMA CHA WALIMU (CWT), MKOA WA DAR ES SALAAM KINAIDAI SERIKALI SH.BILIONI 1.1

Amina Kisenge Na Dotto Mwaibale WALIMU wa Mkoa wa Dar es Salaam wanaidai Serikali jumla ya sh. Bilioni 1.1 za madai yao mb...







Amina Kisenge


Na Dotto Mwaibale

WALIMU wa Mkoa wa Dar es Salaam wanaidai Serikali jumla ya sh. Bilioni 1.1 za madai yao mbalimbali kwa kipindi cha kuanzia mwaka 2013 hadi 2015.

Hayo yalielezwa na Mwenyekiti wa Chama cha Walimu (CWT) Mkoa wa Dar es Salaam, Mwalimu Amina Kisenge (pichani kushoto), katika kikao cha baraza la dharura la chama hicho lililoketi hivi karibuni.

Awali CWT ilikua ikidai jumla ya Sh.Bilioni 3.9 kabla ya kupunguza kiasi cha Sh.Bilioni 1.9 mapema mwaka huu.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti, madeni hayo ni pamoja na malimbikizo ya nauri za likizo kuanzia mwezi wa Juni na Desemba, 2013; na Juni na Desemba mwaka jana.

Malimbikizo mengine ni pamoja na pesa ya kuwasafirisha 
wastaafu kwenda majumbani kwao, alisema Kisenge.

"Uhamisho wa walimu kutoa kituo kimoja kwenda kingine ikiwa ni posho ya usumbufu na ya kujikimu; pamoja na pesa za gharama za masomo baada ya walimu kujigharamia kujisomesha, imekuwa pia ni tatizo kwa serikali kutoa," alisema Mwenyekiti.

 Kisenge aliongeza kwamba chamgamoto nyingine inayowakabili walimu ni mfuko wa PSPF kutowalipa walimu wastaafu kwa wakati ambapo walimu waliostaafu Januari hadi Septemba mwaka huu hawajalipwa mafao  yao.

Kero nyingine kwa mujibu wa CWT ni walimu kutopandishwa madaraja kwa wakati na kwa wale wanaobahatika kupanda madaraja, mishahara yao hairekeshwi.

Wakati huohuo, CWT iliitaka serikali ya awamu ya tano kuharakisha matumizi ya chombo cha ajira kwa walimu kilichopitishwa na serikali ya awamu ya nne;kwamba chombo hicho ndicho mkombozi wao. 



COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: CHAMA CHA WALIMU (CWT), MKOA WA DAR ES SALAAM KINAIDAI SERIKALI SH.BILIONI 1.1
CHAMA CHA WALIMU (CWT), MKOA WA DAR ES SALAAM KINAIDAI SERIKALI SH.BILIONI 1.1
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgPO1urHLnljpREZEILqJ2XeSJ0U3QcioDdIhCr5n9RiUjovPy4sCxwAbszEkvVPwH4AQP9NwTFMLZds16TPSqSLifVpu1gVZUsqI4N_ev8Wt9XNzNE6cSbQ-iNdtuSgz8xC40VaPZdNF2s/s320/IMG_9522.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgPO1urHLnljpREZEILqJ2XeSJ0U3QcioDdIhCr5n9RiUjovPy4sCxwAbszEkvVPwH4AQP9NwTFMLZds16TPSqSLifVpu1gVZUsqI4N_ev8Wt9XNzNE6cSbQ-iNdtuSgz8xC40VaPZdNF2s/s72-c/IMG_9522.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/11/chama-cha-walimu-cwt-mkoa-wa-dar-es.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/11/chama-cha-walimu-cwt-mkoa-wa-dar-es.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy