F WASHINDI WA AFYABANDO KWENYE DROO YA TATU WAPATIKANA | Okandablogs

Sunday, October 22, 2017

WASHINDI WA AFYABANDO KWENYE DROO YA TATU WAPATIKANAMtaalam wa Tehama wa Nordic Foundation Tanzania  Dickson Leonard (katikati) akibadilishana mawazo na Mkaguzi kutoka Bodi ya Taifa ya Michezo ya kubahatisha, Emmanuel Ndaki (kushoto) na Mkurugenzi mwendeshaji wa Kampuni ya Bima ya Zurich Group/ Jubilee wakati wa zoezi la kuendesha kampeni ya Afyabando ya tatu kuwapata washindi 10 watakaokabidhiwa kadi za Bima ya afya kwa ajili ya matibabu pamoja na familia. Mchezo huo umechezeshwa jijini Dar es Salaam Oktoba 22. 2017. (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogs)

Mtaalam wa Tehama wa Nordic Foundation Tanzania  Dickson Leonard (kulia) akiwasiliana na mmoja wa washindi wa kampeni ya Afyabando ambapo washindi 10 watakaokabidhiwa kadi za Bima ya afya kwa ajili ya matibabu pamoja na familia. Mchezo huo umechezeshwa jijini Dar es Salaam Oktoba 22. 2017.  Kushoto ni Mkaguzi kutoka Bodi ya Taifa ya Michezo ya kubahatisha, Emmanuel Ndaki.

Mtaalam wa Tehama wa Nordic Foundation Tanzania  Dickson Leonard (kulia) akibonyeza kitufe kuwapata washindi wa kampeni ya Afyabando ambapo washindi 10 watakaokabidhiwa kadi za Bima ya afya kwa ajili ya matibabu pamoja na familia.  Kushoto ni Mkaguzi kutoka Bodi ya Taifa ya Michezo ya kubahatisha, Emmanuel Ndaki.

Mkurugenzi mwendeshaji wa Kampuni ya Bima ya Zurich Group/ Jubilee akiongea wakati wa zoezi la kuendesha kampeni ya Afyabando ya tatu ambapo washindi 10 wamepatikana na watakaokabidhiwa kadi za Bima ya afya kwa ajili ya matibabu pamoja na familia.0 comments:

Post a Comment