UJUMBE KUTOKA USAID MAREKANI WAIPONGEZA TANZANIA.

Binagi Media Group Mapambano dhidi ya ugongwa hatari wa Malaria yameendelea kuonyesha mafanikio mkoani Mwanza, baada ya vifo vitokana...


Binagi Media Group

Mapambano dhidi ya ugongwa hatari wa
Malaria yameendelea kuonyesha mafanikio mkoani Mwanza, baada ya vifo
vitokanavyo na ugonjwa huo kupungua kutoka asilimia 19.01 mwaka 2011/12 hadi
asilimia 15.1 mwaka 2015/16.



Hiyo ni kutokana na juhudi za serikali
kupambana na ugonjwa huo kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ikiwemo shirika
la misaada la watu wa Marekani USAID ambalo limeendelea kusaidia vyandarua
vyenye kinga kwa ajili ya mapambano dhidi ya malaria.

Mganga Mkuu Mkoa wa Mwanza,
Dkt.Leonard Subi aliyasema hayo jana wakati wa zoezi la kugawa vyandarua bure
katika shule ya Msingi Senge iliyopo Kata ya Bujashi wilayani Magu ambalo lilishuhudiwa
pia na ujumbe kutoka USAID Marekani.

Alisema mbali na kuua vimelea vya
Malaria kwa kutumia viuatilifu, pia serikali inagawa vyandarua bure katika
shule za msingi, vituo vya afya, zahanati pamoja na hospitali ili kuongeza kasi
ya mapambano dhidi ya ugonjwa huo.

Monica Ngalula pamoja na Marco Yusuph
ni baadhi ya wanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya msingi Sese,
walishukuru kwa kugawiwa vyandarua hivyo na kwamba vitawasaidia wasing’atwe na
mbu wa Malaria wakiwa wamelala nyumbani kama ilivyokuwa hapo awali.

Mkurugenzi wa Mawasiliano kutoka
USAID, Chriss Thomas alifurahishwa na juhudi za Tanzania kupambana na ugonjwa
wa Malaria na kuahidi ushirikiano zaidi wa kusaidia mapambano hayo ili kuokoa
maisha ya watu hususani akina mama wajawazito pamoja na watoto ambao wamekuwa
kwenye hatari ya kupoteza maisha kutokana na ugonjwa huo.

Mganga Mkuu mkoani Mwanza, Dkt.Leonard Subi
Mkurugenzi wa Mawasiliano kutoka USAID, Chriss Thomas akizungumza na wanahabari
Ujumbe kutoka USAID Marekani ukiwa shule ya msingi Sese wilayani Magu kushuhudia zoezi la ugawaji vyandarua
Mwanafunzi wa shule ya msingi Sese akipokea chandarua kutoka USAID
Mwanafunzi wa shule ya msingi Sese akipokea chandarua kutoka USAID
Ugeni kutoka USAID Marekani
Shule ya msingi Sese wilayani Magu ni miongoni mwa shule za msingi 941 ambazo wanafunzi wake wananufaika na zoezi la ugawaji vyandarua bure mkoani Mwanza.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: UJUMBE KUTOKA USAID MAREKANI WAIPONGEZA TANZANIA.
UJUMBE KUTOKA USAID MAREKANI WAIPONGEZA TANZANIA.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiwpt_NTSkGhuO6wR-L6wOBh07MQ4CNUhcyv8GNAxTXvjh84pG0vfGtTqxSwQSIPFiRChv0XoTC51JT0Il3OkL9UpAyU37KLKswdvKuGwaYBvVhqchcHbyXeHPt15U8ZpXewCQQg64oXDo/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiwpt_NTSkGhuO6wR-L6wOBh07MQ4CNUhcyv8GNAxTXvjh84pG0vfGtTqxSwQSIPFiRChv0XoTC51JT0Il3OkL9UpAyU37KLKswdvKuGwaYBvVhqchcHbyXeHPt15U8ZpXewCQQg64oXDo/s72-c/1.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/ujumbe-kutoka-usaid-marekani-waipongeza.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/ujumbe-kutoka-usaid-marekani-waipongeza.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy