NAIBU WAZIRI KANGI LUGOLA, ATEMBELEA NEMC JIJINI DAR ES SALAAM

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Kangi Lugola (kushoto) akiteta jambo na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Baraza ...







Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Kangi Lugola (kushoto) akiteta jambo na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Mazingira (NEMC) Dkt Vedast Makota wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri huyo katika baraza hilo mapeme hii leo Oktoba 19, 2017. jijini Dar es Salaam.



Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Kangi Lugola (kushoto) akipata maelekezo toka kwa mtaalamu wa maabara wa Baraza la Taifa la Mazingira (NEMC) wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri huyo katika baraza hilo mapeme hii leo jijini Dar es Salaam.



Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Kangi Lugola (kushoto) akizungumza na watumishi wa Baraza la Taifa la Mazingira (hawapo pichani) wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri huyo katika baraza hilo mapeme hii leo jijini Dar es Salaam.






Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Kangi Lugola (kushoto) akizungumza na watumishi wa Baraza la Taifa la Mazingira (NEMC) wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri huyo katika baraza hilo mapeme hii leo jijini Dar es Salaam.




Baadhi ya watumishi Baraza la Taifa la Mazingira (NEMC) wakimsikiliza Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Kangi Lugola (hayupo pichani) wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri huyo katika baraza hilo mapeme hii leo jijini Dar es Salaam.



Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Mazingira(NEMC) Dkt Vedast Makota (kulia) akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Kangi Lugola (kushoto) wakati alipokutana na Menejimenti ya baraza hilo akiwa katika ziara ya kikazi mapema hii leo jijini Dar es Salaam.




Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Mazingira (NEMC) Dkt Vedast Makota (kulia) akizungumza na watumishi baraza hilo wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Kangi Lugola (kushoto) mapeme hii leo jijini Dar es Salaam.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NAIBU WAZIRI KANGI LUGOLA, ATEMBELEA NEMC JIJINI DAR ES SALAAM
NAIBU WAZIRI KANGI LUGOLA, ATEMBELEA NEMC JIJINI DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgGmcA8ii4ENKDrHPs3xC06fqntYlTZuNKSaqMaj2sudv4AMvpupUloTY2GEnptnJknsgj6BSp4gHbocFosh5iQahh-g9IQjHuTSa9WPaqZ9152htnavP8mJN4O3b_lkNxkG-iFcQWJEGzB/s640/Pix+01.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgGmcA8ii4ENKDrHPs3xC06fqntYlTZuNKSaqMaj2sudv4AMvpupUloTY2GEnptnJknsgj6BSp4gHbocFosh5iQahh-g9IQjHuTSa9WPaqZ9152htnavP8mJN4O3b_lkNxkG-iFcQWJEGzB/s72-c/Pix+01.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/naibu-waziri-kangi-lugola-atembelea.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/naibu-waziri-kangi-lugola-atembelea.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy