MAKAMU WA RAIS AONDOKA MKOANI KILIMANJARO NA KUREJEA JIJINI DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemaliza ufunguzi wa maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usal...


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemaliza ufunguzi wa maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama uliofanyika Kitaifa mkoani Kilimanjaro na kurejea Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Anna Mghwira katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) mara baada ya kufungua maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani ambayo Kitaifa yamefanyika mkoani Kilimanjaro.
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Waziri wa Mambo Ndani, Mh Mwigulu Nchemba katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) mara baada ya kufungua maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani ambayo Kitaifa yamefanyika mkoani Kilimanjaro. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAKAMU WA RAIS AONDOKA MKOANI KILIMANJARO NA KUREJEA JIJINI DAR
MAKAMU WA RAIS AONDOKA MKOANI KILIMANJARO NA KUREJEA JIJINI DAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/proxy/AVvXsEjO_r5NaDehZNs072MZFsBOEHvIaLDwIuPA0exu1ShCanlQRiDud1ZBfZUqQnC97Z2VcsPQ6CJf5dOnQFkGKZNnpxxOhOimRoNq_xTOR9BUS7UFTnjNlnG3Syyr_xuqipN5B-sEfNnPPPC27vK2yeplYPA2DiF_7uzrdNn6eu7Ei6Avgw=
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj6gIkEHhm6VKyIGSPXdldnVjaSXcAda02rYemn6eggwny7gL6rV6x-8XiXchA49HJfB872GSTcGx1Fs6VyAgXJ_1TOc1dUYTYcN-OwzR7g9Q9DokxVI05wLAfEnSYgM_vaSCTxDgZs3EbT/s72-c/2-1.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/makamu-wa-rais-aondoka-mkoani.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/makamu-wa-rais-aondoka-mkoani.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy