WASANII WATAKAOKIWASHA TIGO FIESTA JIJINI MWANZA WATEMBELEA DUKA LA TIGO LEO.

Wasanii walio katika list ya watumbuizaji wa Fiesta jijini Mwanza wakishuka kwenye gari kuingia katika duka la Tigo Jijini Mwanza mapema ...


Wasanii walio katika list ya watumbuizaji wa Fiesta jijini Mwanza wakishuka kwenye gari kuingia katika duka la Tigo Jijini Mwanza mapema leo mchana.


Mteja wa mtandao wa Tigo Edith Shekifu, akipokea zawadi kutoka kwa msanii wa hip hop Fareed Kubanda(Fid Q) ndani ya duka la Tigo eneo la Samaki barabara ya Stesheni jijini Mwanza.

Mteja wa mtandao wa Tigo Kilinga James, akipokea zawadi kutoka kwa msanii wa hip hop Fareed Kubanda (Fid Q) ndani ya duka la Tigo eneo la Samaki barabara ya Stesheni jijini Mwanza.

Wasanii wa bongo fleva Fareed Kubanda(Fid Q) na Rayvanny wakimpa zawadi mteja Lidya Mtamizi, kwenye duka la Tigo eneo la Samaki barabara ya Stesheni jijini Mwanza.

Msanii bongofleva Rayvanny akipiga selfie na mteja wa Tigo, kwenye duka la Tigo eneo la Samaki barabara ya Stesheni jijini Mwanza.





COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WASANII WATAKAOKIWASHA TIGO FIESTA JIJINI MWANZA WATEMBELEA DUKA LA TIGO LEO.
WASANII WATAKAOKIWASHA TIGO FIESTA JIJINI MWANZA WATEMBELEA DUKA LA TIGO LEO.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhAA6DAJXpkffVeesjH04LE5e8h0K4C9HU3BE7AVmVtd-nJbmwnqtfxC41CFPwqpABBrGBEIAO-f7mghQnphpHsP4tXgTMNZkC3k1pacEOE7wRK75C1lyEk71HML1Uqk_btOjS_JnF3dyU/s640/wasanii+kushuka+kwenye+bus+%25286%2529.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhAA6DAJXpkffVeesjH04LE5e8h0K4C9HU3BE7AVmVtd-nJbmwnqtfxC41CFPwqpABBrGBEIAO-f7mghQnphpHsP4tXgTMNZkC3k1pacEOE7wRK75C1lyEk71HML1Uqk_btOjS_JnF3dyU/s72-c/wasanii+kushuka+kwenye+bus+%25286%2529.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/wasanii-watakaokiwasha-tigo-fiesta.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/wasanii-watakaokiwasha-tigo-fiesta.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy