WFP YATAMBULISHA MIKAKATI YA KUTOKOMEZA NJAA NCHINI.

 Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Chakula Duniani (WFP), Michael Dunford akielezea kwa undani namna shirika hilo litakavyoweza kufanya kazi...

 Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Chakula Duniani (WFP), Michael Dunford akielezea kwa undani namna shirika hilo litakavyoweza kufanya kazi nchini Tanzania na kuitaja mikakati mitano waliyo iweka kwa ajili ya Shirika hilo.
 Mmoja wa Blogger Bw. Bethuel Kinyori ambaye ni Mmiliki wa mtandao wa Dailypulse24.com akiuliza swali wakati wa Mkutano huo ulio fanyika katika Hotel ya New Africa Jijini Dar es Salaam leo.

 Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Chakula Duniani (WFP) Bw. Michael Dunford akijibu baadhi ya maswali yaliyoulizwa na waandishi wa Habari za Mtandaoni.
Mmoja wa wafanyakazi wa WFP Bw. Masasa Makwasa akielezea namna Programu ya 'Farm to Market Alliance' inavyofanya kazi na inavyowasaidia wakulima katika shughuli zao za Kilimo.
 Mtaalam wa mambo ya usimamizi wa Fedha ambaye pia ni Blogger Bi. Monica Joseph akiuliza swali linalohusiana na maswala ya fedha hasa kwa wakulima ambao WFP wanaofanyanao kazi.
 Bi. Alice Maro kutoka WFP akielezea mambo zaidi kuhusu Shirika hilo
 Bw. Krantz Mwantepele ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Koncept na Mmiliki wa mtandao wa Mwanaharakati Mzalendo akiuliza swali wakati wa Mkutano huo.
 Baadhi ya Bloggers wakiwa katika mkutano huo
 Baadhi ya watumishi wa WFP wakiwa katika Mkutano huo uliowahusisha waandishi wa Habari za Mtandanaoni (Bloggers)
 Bw. Masasa Makwasa kutoka WFP akijibu baadhi ya Maswali yaliyoulizwa na Bloggers
Picha ya Pamoja ya watumishi wa Shirika la Chakula Duniani (WFP) pamoja na waandishi wa Habari za Mtandaoni (Bloggers)
Picha zote na Fredy Njeje/ Blogs za Mikoa Tanzania
 Habari na Michuzi Media na Mo Blog

Shirika la chakula Duniani (WFP) limetambulisha mikakati yake mitano ya
kutokomeza njaa nchini itakayofanyika ndani ya miaka minne kuanzia
mwaka huu hadi 2021.
Akizungumza katika warsha iliyowakutanisha WFP na waandishi wa Habari za
mtandaoni, mkurugenzi wa WFP Tanzania,Michael Danford ameitaja mikakati
hiyo kuwa, ni kuwasaidia wakimbizi na jamii zao, kutoa msaada wa lishe
hasa katika maeneo ya Dodoma na Singida.
Aidha alitaja mikakati mingine kuwa ni, kuimarisha mfumo wa chakula Serikalini na ubunifu wa namna ya kupata chakula cha ziada.
Akifafanua namna ya utekelezaji wa mikakati hiyo, amesema, watatoa
msaada wa fedha kwa wakimbizi wapatao 400,000 kwa ajili ya kuwawezesha
kupata mahitaji yao wanayotaka pia kuiongezea serikali kipato.
"Kuna faida zaidi ya kutumia fedha kuliko chakula kwa wakimbizi kwani
kila dola moja iyakayotumika inaweza kuimarisha uchumi wa nchi sababu
fedha zitakazoingia zitakuwa za kigeni".
Aidha ameongeza, WFP kwa kushirikiana na wadau wengine watatoa elimu kwa
wakulima wadogo juu ya namna ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya
nchi pamoja na kuwaunganisha kwenye masoko ya uhakika.
" Tangu Tanzania ipate Uhuru, WFP ndio iliyosaidia wakulima kwa Mara ya
kwanza kupata mikopo kutoka benki, tulikaa na taasisi za fedha
tukawashawishi kuwaamini wakulima na kuanza kuwapa mikopo," amesema.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WFP YATAMBULISHA MIKAKATI YA KUTOKOMEZA NJAA NCHINI.
WFP YATAMBULISHA MIKAKATI YA KUTOKOMEZA NJAA NCHINI.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh0xHgF1v3jBrAi9-fC0WHpH8UZ5dhhyphenhyphen05rSoZxgjV5mcWQEOrRGfA2Ff-BHyfMlJDFygWnwhSFy4jhyphenhyphenpftmbRJ_Qf4fl8uAZavhcr4MI1MKENkv-hJ1kl7CuXSDm_ET_PyCCdWUHPzdg4/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh0xHgF1v3jBrAi9-fC0WHpH8UZ5dhhyphenhyphen05rSoZxgjV5mcWQEOrRGfA2Ff-BHyfMlJDFygWnwhSFy4jhyphenhyphenpftmbRJ_Qf4fl8uAZavhcr4MI1MKENkv-hJ1kl7CuXSDm_ET_PyCCdWUHPzdg4/s72-c/1.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/wfp-yatambulisha-mikakati-ya-kutokomeza.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/wfp-yatambulisha-mikakati-ya-kutokomeza.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy