UCHAGUZI MKUU KENYA; WAPIGA KURA MILIONI MILIONI 19.6 KUAMUA NI UHURU AU RAILA KUWA RAIS WAO

NA K-VIS BLOG/MASHIRIKA YA HABARI WAKENYA Milioni 19.6 ambao wamejiandikisha kupiga kura leo Agosti 8, 2017 wataamua nani awe rais wao wa ta...
NA K-VIS BLOG/MASHIRIKA YA HABARI

WAKENYA Milioni 19.6 ambao wamejiandikisha kupiga kura leo Agosti 8, 2017 wataamua nani awe rais wao wa tano kati ya Rais wa sasa Uhuru Kenyatta, anayepeperusha bendera ya Jubilee na Raila Odinga ambaye anapeperusha bendera ya muungano wa NASA, ambapo maeeno mengi ya Kenya wapiga kura wameanza kupiga kura ambapo vituo vilifunguliwa mapema saa 12 asubuhi. na upigaji kura utaendelea hadi saa 12 jioni, na matokeo ya kura yatatangazwa baada ya siku saba. Jumla ya vituo 40,883 vimetengwa nchi nzima na kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari vya kimataifa, wapiga kura wameanza kufika vituoni tangu saa 7 usiku licha ya baridi kali ambayo imefika nyuzi joto 15c.
Rais Uhuru Kenyatta, (55), anagombea muhula wake wa pili na wa mwisho na anakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa mwanasiasa mkongwe Raila Odinga (72) anaeongoza muungano wa upinzani NASA na kwa sasa anawania nafasi hiyo ya Rais kwa mara ya nne.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: UCHAGUZI MKUU KENYA; WAPIGA KURA MILIONI MILIONI 19.6 KUAMUA NI UHURU AU RAILA KUWA RAIS WAO
UCHAGUZI MKUU KENYA; WAPIGA KURA MILIONI MILIONI 19.6 KUAMUA NI UHURU AU RAILA KUWA RAIS WAO
https://3.bp.blogspot.com/-u5oWIqK4Jdo/WYlK8LiANLI/AAAAAAAA5lY/wXoRWZdst7UVUUTh6LteTrOFa9WkNZLawCLcBGAs/s640/kenyatta-odinga-kenya.png
https://3.bp.blogspot.com/-u5oWIqK4Jdo/WYlK8LiANLI/AAAAAAAA5lY/wXoRWZdst7UVUUTh6LteTrOFa9WkNZLawCLcBGAs/s72-c/kenyatta-odinga-kenya.png
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/uchaguzi-mkuu-kenya-wapiga-kura-milioni.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/uchaguzi-mkuu-kenya-wapiga-kura-milioni.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy