OPERESHENI YA KUWADHIBITI WAHALIFU KIBITI YAZAA MATUNDA MAZURI, 13 WAUWAWA NA SILAA ZAREJESHWA POLISI

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Operesheni Maalumu za Jeshi la Polisi, Naibu Kamis...



Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Operesheni Maalumu za Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Liberatus Sabas kuhusiana na tukio la kuuawa wahalifu 13 katika majibizano ya risasi baina ya Polisi na wahalifu hao katika eneo la Tangibovu, Kijiji cha Miwaleni Kata ya Mchukwi, Tarafa ya Kibiti. Chini ni silaha  8 aina ya SMG pamoja na vifaa vingine zilizopatikana katika majibizano hayo.

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro  akionesha makasha ya risasi (magazine) ambazo  ni miongoni  mwa makasha 8 yaliyokuwa yakitumiwa na wahalifu  katika eneo la Tangibovu, Kijiji cha Miwaleni Kata ya Mchukwi, Tarafa ya Kibiti. Kushoto ni Kamishina wa Polisi Jamii (CP) Mussa Alli Musa akifuatiwa na  Mkuu wa Operesheni Maalumu za Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Liberatus Sabas. Katika tukio hilo Jeshi la Polisi limefanikiwa kuwaua wahalifu 13 ambao walikuwa wakifanya mauaji Kibiti

 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro  akielezea  baadhi ya vitu mbalimbali vilivyokuwa vikitumiwa na wahalifu  13 waliouawa  katika eneo la Tangibovu, Kijiji cha Miwaleni Kata ya Mchukwi, Tarafa ya Kibiti   ambapo  jumla ya  silaha 8 aina ya SMG,  risasi  158, pikipiki 2, pamoja na  begi la nguo  vilivyokuwa  vikitumiwa na wahalifu hao. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya jinai (CP) Robert Boaz

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro  akionesha silaha aina ya SMG ambayo ni miongoni mwa silaha 8  zilizokuwa zikitumiwa na wahalifu 13 waliouawa katika majibizano ya risasi baina yao na Jeshi la Polisi  katika eneo la Tangibovu, Kijiji cha Miwaleni Kata ya Mchukwi, Tarafa ya Kibiti. Wa kwanza kulia  ni Kamishina wa Polisi Jamii (CP) Mussa Alli Musa akifuatiwa na  Mkuu wa Operesheni Maalumu za Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Liberatus Sabas.

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro akiongea na wananchi wa Kijiji cha Miwaleni Kata ya Mchukwi, Tarafa ya Kibiti alipokuwa akitoka kukagua eneo la tukio walipouawa  wahalifu 13 katika majibizano ya risasi baina yao na Jeshi la Polisi  katika eneo la Tangibovu. (Picha na Jeshi la Polisi)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: OPERESHENI YA KUWADHIBITI WAHALIFU KIBITI YAZAA MATUNDA MAZURI, 13 WAUWAWA NA SILAA ZAREJESHWA POLISI
OPERESHENI YA KUWADHIBITI WAHALIFU KIBITI YAZAA MATUNDA MAZURI, 13 WAUWAWA NA SILAA ZAREJESHWA POLISI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEguKMkBXKl-ABKzU7-pDRyouqBN2DDiSnvxauHEPdLaHKi0hx7Xrilc5Phipn4CNQ1FpPiXZbEE_cA7v11BNY7G376onqpqSn27nYvEU7lac_4JQQgjusk-Ge-Kgr6bYwbeo1tZ4f8Rw_U/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEguKMkBXKl-ABKzU7-pDRyouqBN2DDiSnvxauHEPdLaHKi0hx7Xrilc5Phipn4CNQ1FpPiXZbEE_cA7v11BNY7G376onqpqSn27nYvEU7lac_4JQQgjusk-Ge-Kgr6bYwbeo1tZ4f8Rw_U/s72-c/1.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/operesheni-ya-kuwadhibiti-wahalifu.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/operesheni-ya-kuwadhibiti-wahalifu.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy