KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO ATEMBELEA BANDA LA COSTECH VIWANJA VYA NANENANE NGONGO MKOANI LINDI

Mtafiti kutoka  Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH),   Bestina Daniel  (kushoto),  akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu Wizar...





Mtafiti kutoka Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH),  Bestina Daniel (kushoto), akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhandisi Mathew Mtigumwe (kulia), kuhusu ushiriki wa COSTECH katika maonyesho hayo, alipotembelea banda la COSTECH , lililopo chini ya Wizara hiyo katika Maonyesho ya Kitaifa ya Wakulima yanayoendelea Viwanja vya Nane Nane vya Ngongo mkoani Lindi jana.

Mtafiti kutoka Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha Mikocheni (MARI), Ismail Ngolinda, akitoa maelezo Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhandisi Mathew Mtigumwe (kushoto), alipotembelea banda hilo. Katikati ni  Mkurugenzi wa Utafiti na Maendeleo wa Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi, Hussein Mansour.




Watafiti wakijadiliana jambo kwenye maonesho hayo. Kutoka kulia ni Mratibu wa Jukwaa la Bioteknolojia (OFAB), Filbert Nyinondi, Bestina Daniel, mdau wa kilimo, Flaviana, Dk. Emmarold Mneney, Ismail Ngolinda kutoka Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha Ilonga Kilosa mkoani Morogoro na Christina Kidulile
Taswira ya banda hilo katika maonyesho hayo.



(Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com-simu namba 0712727062)




COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO ATEMBELEA BANDA LA COSTECH VIWANJA VYA NANENANE NGONGO MKOANI LINDI
KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO ATEMBELEA BANDA LA COSTECH VIWANJA VYA NANENANE NGONGO MKOANI LINDI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEijXH_cbI5sZgpJL6X0DAjxtMJUoDKcvJW9siETTgOdNsoOKAk3SFQHVNEFlKRDBMp40zGquOtTx5oCvsRtIZHBB7_4JodJ7WiPup4LNbfAn2sWeINNXmLJbs8zBctVslUzBj-4N1PtGzfV/s640/IMG_2452.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEijXH_cbI5sZgpJL6X0DAjxtMJUoDKcvJW9siETTgOdNsoOKAk3SFQHVNEFlKRDBMp40zGquOtTx5oCvsRtIZHBB7_4JodJ7WiPup4LNbfAn2sWeINNXmLJbs8zBctVslUzBj-4N1PtGzfV/s72-c/IMG_2452.JPG
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/katibu-mkuu-wizara-ya-kilimo-atembelea.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/katibu-mkuu-wizara-ya-kilimo-atembelea.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy