KAMANDA WA POLISI WA MKOA WA KIPOLISI WA KINONDONI, MULIRO J. MULIRO AWAONGOZA ASKARI KATIKA MAZOEZI

Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Muliro J. Muliro (wa tatu kushoto) akiwaongoza askari na maofisa wa vyeo mbalimbali leo...Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Muliro J. Muliro (wa tatu kushoto) akiwaongoza askari na maofisa wa vyeo mbalimbali leo jijini Dar es salaam, katika matembezi ya pamoja ya kuimarisha afya na kujenga ushirikiano na ujasiri hususan katika kutekeleza majukumu ya kazi za Polisi na kukabiliana na matukio ya kihalifu.


Askari na maofisa wa vyeo mbalimbali wa mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, leo jijini Dar es salaam, wakiwa katika mazoezi baada ya kumaliza matembezi ya pamoja ya kuimarisha afya na kujenga ushirikiano na ujasiri hususan katika kutekeleza majukumu ya kazi za Polisi na kukabiliana na matukio ya kihalifu, matembezi hayo yaliongozwa na kamanda wa Polisi wa mkoa huo, Muliro J. Muliro. (Picha na Jeshi al Polisi)

Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wakifanya mazoezi leo jijini Dar es salaam, baada ya kumaliza matembezi ya pamoja ya kuimarisha afya na kujenga ushirikiano na ujasiri hususan katika kutekeleza majukumu ya kazi za Polisi na kukabiliana na matukio ya kihalifu, matembezi hayo yaliongozwa na kamanda wa Polisi wa mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Muliro J. Muliro. 


Baadhi ya askari wa vyeo mbalimbali kutoka mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, leo jijini Dar es salaa, wakiwa katika matembezi ya pamoja ya kuimarisha afya na kujenga ushirikiano na ujasiri hususan katika kutekeleza majukumu ya kazi za Polisi na kukabiliana na matukio ya kihalifu, matembezi hayo yaliongozwa na kamanda wa Polisi wa mkoa huo, Muliro J. Muliro.

Baadhi ya askari wa vyeo mbalimbali kutoka mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, leo jijini Dar es salaa, wakiwa katika matembezi ya pamoja ya kuimarisha afya na kujenga ushirikiano na ujasiri hususan katika kutekeleza majukumu ya kazi za Polisi na kukabiliana na matukio ya kihalifu, matembezi hayo yaliongozwa na kamanda wa Polisi wa mkoa huo, Muliro J. Muliro. 

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KAMANDA WA POLISI WA MKOA WA KIPOLISI WA KINONDONI, MULIRO J. MULIRO AWAONGOZA ASKARI KATIKA MAZOEZI
KAMANDA WA POLISI WA MKOA WA KIPOLISI WA KINONDONI, MULIRO J. MULIRO AWAONGOZA ASKARI KATIKA MAZOEZI
https://2.bp.blogspot.com/-pI6NHff0SHA/WY7ZNFz-hoI/AAAAAAADkKI/fljbpa96lU4dKEdD3A3vV9D6b0Hx_vkeQCLcBGAs/s640/1-2-1.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-pI6NHff0SHA/WY7ZNFz-hoI/AAAAAAADkKI/fljbpa96lU4dKEdD3A3vV9D6b0Hx_vkeQCLcBGAs/s72-c/1-2-1.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/kamanda-wa-polisi-wa-mkoa-wa-kipolisi.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/kamanda-wa-polisi-wa-mkoa-wa-kipolisi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy