SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 57 YA UHURU WA CONGO ZAFANA JIJINI DAR ES SALAAM

 Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage (kulia) na Balozi wa Congo nchini Tanzania, Jean-Pierre Mutamba, wakigonganis...


 Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage (kulia) na Balozi wa Congo nchini Tanzania, Jean-Pierre Mutamba, wakigonganisha Glasi ikiwa ni ishara ya maadhimisho ya sherehe za miaka 57 ya Uhuru wa Congo, zilizofanyika nyumbani kwa Balozi huyo, jijini Dar es Salaam, jana usiku. Picha Zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
 Balozi wa Congo nchini Tanzania, Jean-Pierre Mutamba, akizungumza wakati akisoma hotuba yake katika Sherehe za maadhimisho ya miaka 57 ya Uhuru wa Congo, zilizofanyika nyumbani kwa Balozi huyo jijini Dar es Salaam, jana usiku. Katikati ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage (kulia) ni Kaimu Mkurugenzi Wizara ya Mambo ya Nje, Suleiman Saleh.
 Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage (kulia) na Balozi wa Congo nchini Tanzania, Jean-Pierre Mutamba, wakifurahia jambo wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 57 ya Uhuru wa Congo, zilizofanyika nyumbani kwa Balozi huyo, jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage (kushoto) na Balozi wa Congo nchini Tanzania, Jean-Pierre Mutamba, kwa pamoja wakikata Keki ikiwa ni ishara ya maadhimisho ya sherehe za miaka 57 ya Uhuru wa Congo, zilizofanyika nyumbani kwa Balozi huyo, jijini Dar es Salaam.
 Keki ya sherehe hizo
 Baadhi ya Wakongo wakiimba wimbo wa Taifa katika sherehe hizo.
 Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria sherehe hizo wakifuatilia yaliyokuwa yakiendelea jukwaani katika maadhimisho hayo.
 Mwanamuziki wa Kimataifa, kutoka Congo, Ferre Gola, akitoa burudani katika sherehe hizo.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage akicheza muziki na mwanamuziki Ferre Gola, wakati wa sherehe hizo.
 Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria sherehe hizo wakibadilishana mawazo.
Wanamitindo wakipita jukwaani kutoa shoo la onyesho la mavazi wakati wa sherehe hizo.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 57 YA UHURU WA CONGO ZAFANA JIJINI DAR ES SALAAM
SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 57 YA UHURU WA CONGO ZAFANA JIJINI DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiAcAaabCNGoPP2ZGZyhlcDwCOYNhsF4VvxRj-B8f4detruktvxS-a4pb6iWPLGxn0m65g4wX1iKhV0jpzdv9QgvTewdfR-yKHxT_qG1SSN6_ZL_RL6PDkSxHtJu7ac_cSy9ckd9C81AIc/s640/03.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiAcAaabCNGoPP2ZGZyhlcDwCOYNhsF4VvxRj-B8f4detruktvxS-a4pb6iWPLGxn0m65g4wX1iKhV0jpzdv9QgvTewdfR-yKHxT_qG1SSN6_ZL_RL6PDkSxHtJu7ac_cSy9ckd9C81AIc/s72-c/03.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/sherehe-za-maadhimisho-ya-miaka-57-ya.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/sherehe-za-maadhimisho-ya-miaka-57-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy