SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU HASSAN RASHID SHEBUGE, ALIYEKUWA KARANI WA BARAZA LA MAWAZIRI

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi Jumamosi Julai 6, 2017 ameongoza waombolezaji wakiwemo ndugu, jamaa, marafiki, majirani na wafa...

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi Jumamosi Julai 6, 2017 ameongoza waombolezaji wakiwemo ndugu, jamaa, marafiki, majirani na wafanyakazi wenzie katika mazishi ya aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid Shebuge aliyefariki dunia siku ya Alhamisi, Julai 6, 2017 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) alikokuwa akipatiwa matibabu baada ya kupatwa na shinikizo la damu.Marehemu Shebuge, aliyeagwa siku ya Ijumaa Julai 7, 2017 nyumbani kwake Mbagala Majimatitu Jijini Dar es Salaam amezikwa Jumamosi Julai 8, 2017 katika kijiji cha Funta, Bumbuli, mkoani Tanga.


 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akitoa pole kwa wafiwa  kwenye msiba wa aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid Shebuge makaburi  ya kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
 Baadhi ya wafiwa  kwenye msiba wa aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid Shebuge makaburi  ya kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
 Mjane na watoto wa aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid Shebuge wakiwa msibani  kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
  Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid Shebuge ukiwa tayari kuswaliwa kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.

 Mufti Mkuu wa Tanzania  Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally akiongoza Swala ya kuswalia mwili wa aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid Shebuge kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
 Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid Shebuge ukiwasili kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
 Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid Shebuge ukiwasili kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiteta jambo  na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martine Shigella  wakiwa kwenye mazishi ya aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid Shebuge kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
 Sehemu ya wafanyakazi na waombolezaji kwenye mazishi ya aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid Shebuge kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na waombolezaji wengie wakielekea kwenye eneo la makaburi   ya kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
  Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Rashid Shebuge likiwasili kwenye eneo la makaburi  la kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
  Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martine Shigella na waombolezaji wengine wakiwa kwenye mazishi ya aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid Shebuge makaburi  ya kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya  aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid Shebuge makaburi  ya kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
 Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martine Shigella  akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya  aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid Shebuge makaburi  ya kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
 Ndugu wa marehemu  akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya  aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid Shebuge makaburi  ya kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
  Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya  aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid Shebuge makaburi  ya kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
 Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya  aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid Shebuge makaburi  ya kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
 Ndugu akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya  aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid hebuge makaburi  ya kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
  Ndugu akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya  aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid hebuge makaburi  ya kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
Mwombolezaji kiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya  aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid hebuge makaburi  ya kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
Msaidizi wa Katibu Mkuu Kiongozi Bw. Kaganda akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya  aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid Shebuge makaburi  ya kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU HASSAN RASHID SHEBUGE, ALIYEKUWA KARANI WA BARAZA LA MAWAZIRI
SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU HASSAN RASHID SHEBUGE, ALIYEKUWA KARANI WA BARAZA LA MAWAZIRI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhc2_haLJEB6ds6a6Iplf5uiHXTQBSfNNog1PzaZhOUKNKNy9p4gJoKAQOCOcCvsze2bWtyZ82gqc1n7uJ-0cCqBH4S6cOTO5AEM52YUm9oDMi9fW5swz_1sDRjJkgXMt-SMCfmh5KkxVY/s640/unnamed+%252831%2529.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhc2_haLJEB6ds6a6Iplf5uiHXTQBSfNNog1PzaZhOUKNKNy9p4gJoKAQOCOcCvsze2bWtyZ82gqc1n7uJ-0cCqBH4S6cOTO5AEM52YUm9oDMi9fW5swz_1sDRjJkgXMt-SMCfmh5KkxVY/s72-c/unnamed+%252831%2529.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/safari-ya-mwisho-ya-marehemu-hassan.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/safari-ya-mwisho-ya-marehemu-hassan.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy