MTANGAZAJI WA REDIO EFM SETH KATENDE AZIKWA MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR LEO

Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Mh.Paul Makonda akiweka shada la maua katika kaburi la Marehemu Seth Katende maarufu kama Bikira wa Kisukum...


Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Mh.Paul Makonda akiweka shada la maua katika kaburi la Marehemu Seth Katende maarufu kama Bikira wa Kisukuma, ambaye alikuwa Mtangazaji wa Kituo cha Redio cha 93.7 EFM kupitia kipindi cha Ubaoni,wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika katika Makaburi ya Kinondoni jioni ya leo jijini Dar.Marehemu Seth ameagwa mapema leo katika Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam na watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa serikali
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo,Bi.Zawadi Msalla akienda kuweka shada la maua katika kaburi la Marehemu Seth Katende maarufu kama Bikira wa Kisukuma, ambaye alikuwa Mtangazaji wa Kituo cha Redio cha 93.7 EFM kupitia kipindi cha Ubaoni,wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika katika Makaburi ya Kinondoni jioni ya leo jijini Dar.Marehemu Seth ameagwa mapema leo katika Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam na watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa serikali.
Mkurugenzi wa 93.7 Efm Dar Es Salaam Francis Ciza akiweka shada la maua katika kaburi la mtoto wake Seth Katende maarufu kama Bikira wa Kisukuma, ambaye alikuwa Mtangazaji wa Kituo cha Redio cha 93.7 EFM kupitia kipindi cha Ubaoni,wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika katika Makaburi ya Kinondoni jioni ya leo jijini Dar.Marehemu Seth ameagwa mapema leo katika Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam na watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa serikali
Baba wa Marehemu,Mzee Katende akiweka shada la maua katika kaburi la mtoto wake Seth Katende maarufu kama Bikira wa Kisukuma, ambaye alikuwa Mtangazaji wa Kituo cha Redio cha 93.7 EFM kupitia kipindi cha Ubaoni,wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika katika Makaburi ya Kinondoni jioni ya leo jijini Dar.Marehemu Seth ameagwa mapema leo katika Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam na watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa serikali .

Baadhi ya Ndugu jamaa na Marafiki wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kushiriki Mazishi ya Marehemu Seth Katende maarufu kama Bikira wa Kisukuma, ambaye alikuwa Mtangazaji wa Kituo cha Redio cha 93.7 EFM kupitia kipindi cha Ubaoni,wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika katika Makaburi ya Kinondoni jioni ya leo jijini Dar. Marehemu Seth ameagwa mapema leo katika Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es Salaam na watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa serikali.

PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MTANGAZAJI WA REDIO EFM SETH KATENDE AZIKWA MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR LEO
MTANGAZAJI WA REDIO EFM SETH KATENDE AZIKWA MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR LEO
https://1.bp.blogspot.com/-SS8CiMH9mqE/WWYmk5YluiI/AAAAAAADivA/v3GyDATMBF0lFWIrc0YCF0-RZfqvK0EZwCLcBGAs/s640/6.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-SS8CiMH9mqE/WWYmk5YluiI/AAAAAAADivA/v3GyDATMBF0lFWIrc0YCF0-RZfqvK0EZwCLcBGAs/s72-c/6.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/mtangazaji-wa-redio-efm-seth-katende.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/mtangazaji-wa-redio-efm-seth-katende.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy