DAKTARI BINGWA WA MAGONJWA YA MOYO KUTOKA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) PEDRO PALLANGYO ASHINDA TUZO YA WATAFITI VIJANA WA KIAFRIKA KWA MWAKA 2017

NA JKCI, DAR ES SALAAM TAASISI ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) inafuraha kuutaarifu Umma  kuwa Daktari wake Bing...NA JKCI, DAR ES SALAAM

TAASISI ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) inafuraha kuutaarifu Umma  kuwa Daktari wake Bingwa wa Magonjwa ya Moyo ambaye pia ni Mkuu wa Kitengo cha Utafiti na Mafunzo Dkt.Pedro Kisali Pallangyo(pichani),  ameshinda tuzo  ya watafiti vijana wa Kiafrika kwa mwaka 2017 (Young African Researchers Awards 2017). Tuzo hiyo imetolewa na Taasisi ya Sayansi na Utafiti ya nchini Misri.

Dkt. Pallangyo alishinda tuzo hiyo baada ya kufanya utafiti wa kisayansi   katika masuala ya  Afya na dawa za binadamu kwa kuandika machapisho 16 katika majarida (Journal) saba ya Kimataifa ya Afya ya nchini Marekani.

Licha ya kukabidhiwa tuzo hiyo mshindi huyo atapewa  zawadi ya   dola za kimarekani 15,000 (zaidi ya milioni 30 za kitanzania), ngao na cheti.

Tuzo hiyo itakabidhiwa mwezi wa nane mwaka huu mjini Cairo na Rais wa Misri Mhe. Abdi El- Fattah Al-Sis.

Tangu kuanza kutolewa kwa tuzo ya watafiti vijana wa Kiafrika  mwaka 2014 Dkt. Pallangyo ni mtanzania wa kwanza kushinda. Mshindi wa mwaka jana alitoka nchini Ghana.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: DAKTARI BINGWA WA MAGONJWA YA MOYO KUTOKA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) PEDRO PALLANGYO ASHINDA TUZO YA WATAFITI VIJANA WA KIAFRIKA KWA MWAKA 2017
DAKTARI BINGWA WA MAGONJWA YA MOYO KUTOKA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) PEDRO PALLANGYO ASHINDA TUZO YA WATAFITI VIJANA WA KIAFRIKA KWA MWAKA 2017
https://4.bp.blogspot.com/-NTz12drMH44/WW4J2z7yPAI/AAAAAAAA4a8/okOSw7qLO1sI64wK2Dkbym3sHRtsXxMLACLcBGAs/s320/PEDRO.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-NTz12drMH44/WW4J2z7yPAI/AAAAAAAA4a8/okOSw7qLO1sI64wK2Dkbym3sHRtsXxMLACLcBGAs/s72-c/PEDRO.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/daktari-bingwa-wa-magonjwa-ya-moyo.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/daktari-bingwa-wa-magonjwa-ya-moyo.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy