ZIARA YA MWANAMUZIKI FERRE GOLA, CHRISTIAN BELLA SHULE YA UHURU MCHANGANYIKO

 Mwanamuziki wa Kimataifa kutoka nchini Congo, Ferre Gola, (wa pili kulia) Mkurugenzi wa Kampuni ya Montage Ltd...

 Mwanamuziki wa Kimataifa kutoka nchini Congo, Ferre Gola, (wa pili kulia) Mkurugenzi wa Kampuni ya Montage Ltd, Teddy Mapunda (kulia) na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Uhuru mchanganyiko, Anna Mshana, kwa pamoja wakipaka rangi katika ukuta wa chumba cha darasa la Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko, wakati walipofika shuleni hapo kwa ajili ya kujionea mazingira ya shule hiyo, baada ya kuomba kusaidiwa mahitaji hayo, ambapo msaada huo umetokana na mauzo ya meza za Onyesho maalumu la mwanamuziki huyo linalofanyika leo Alhamisi kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.(Picha Zote na Muhidin Sufiani-MAFOTO)
 Mwanamuziki wa Kimataifa kutoka nchini Congo, Ferre Gola, (kushoto) na Christian Bella,  kwa pamoja wakipaka rangi katika ukuta wa chumba cha darasa la Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko, wakati walipofika shuleni hapo kwa ajili ya kujionea mazingira ya shule hiyo, baada ya kuomba kusaidiwa mahitaji hayo, ambapo msaada huo umetokana na mauzo ya meza za Onyesho maalumu la mwanamuziki huyo linalofanyika leo Alhamisi kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. 
 Mwanamuzki wa Kimataifa kutoka nchini Congo, Ferre Gola (kulia) akisaini katika moja ya picha ya kujifunzia iliyobandikwa kwenye Chumba ca darasa katika Shule ya Uhuru Mchanganyiko, baada ya kumaliza kupaka rangi katika chumba hicho, walipofika kukabidhi ndoo za rangi ikiwa ni msaada uliotokana na mauzo ya Meza za onyesho maalumu la mwanamuzki huyo. Kushoto ni Mwanamuziki Christiani Bella. 
 Mkurugenzi wa Kampuni ya Montage Ltd, Teddy Mapunda, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ziara ya mwanamuziki wa kimataifa kutoka Congo, Ferre Gola (wa pili kulia) na Christian Bella (kulia) walipofika SHule ya Uhuru Mchanganyiko kwa ajili ya kukabidhi na kupaka rangi katika baadhi ya vyumba vya madarasa ya shule hiyo. msaada huo umetokana na mauzo ya meza za Onyesho maalumu la mwanamuziki huyo linalofanyika leo Alhamisi kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
 Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko, Anna Mshana, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ziara ya mwanamuziki wa kimataifa kutoka Congo, Ferre Gola (wa pili kulia) na Christian Bella (kulia) walipofika Shule ya Uhuru Mchanganyiko kwa ajili ya kukabidhi na kupaka rangi katika baadhi ya vyumba vya madarasa ya shule hiyo. msaada huo umetokana na mauzo ya meza za Onyesho maalumu la mwanamuziki huyo linalofanyika leo Alhamisi kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
 Mwanamuziki Christian Bella, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ziara ya mwanamuziki wa kimataifa kutoka Congo, Ferre Gola (wa pili kulia) na Christian Bella (kulia) walipofika Shule ya Uhuru Mchanganyiko kwa ajili ya kukabidhi na kupaka rangi katika baadhi ya vyumba vya madarasa ya shule hiyo. msaada huo umetokana na mauzo ya meza za Onyesho maalumu la mwanamuziki huyo linalofanyika leo Alhamisi kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
 Wakitembelea maeneo ya shule hiyo…..
 Ferre Gola, akisaini katika kitabu cha wageni
Christiani Bella, akisaini katika kitabu cha wageni….

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: ZIARA YA MWANAMUZIKI FERRE GOLA, CHRISTIAN BELLA SHULE YA UHURU MCHANGANYIKO
ZIARA YA MWANAMUZIKI FERRE GOLA, CHRISTIAN BELLA SHULE YA UHURU MCHANGANYIKO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgw6xfcPOlMr0VPwswQt1ftyJGhf_XRdF31XtYe_2V50ey0r6DI-hHRuFJ5EdVEDwLlVZykDf3qU-LVLVzUnIwtNmd5yxD0ItY7ozA0NdXUZOmn6_R0eizT9wGdG-ZRcRZ-H86RCk0vFOQ/s640/02.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgw6xfcPOlMr0VPwswQt1ftyJGhf_XRdF31XtYe_2V50ey0r6DI-hHRuFJ5EdVEDwLlVZykDf3qU-LVLVzUnIwtNmd5yxD0ItY7ozA0NdXUZOmn6_R0eizT9wGdG-ZRcRZ-H86RCk0vFOQ/s72-c/02.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/ziara-ya-mwanamuziki-ferre-gola.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/ziara-ya-mwanamuziki-ferre-gola.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy