YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 42, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA JUNI 06, 2017

 Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk.Tulia Ackson akiongoza kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge ...


 Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk.Tulia Ackson akiongoza kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Juni 06, 2017.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 6, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi Ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Watu wenye ulemavu Mhe.Jenista Mhagama  akitolea ufafanuzi hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Juni 6, 2017.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mwigulu Nchemba akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Juni 6, 2017.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Khamis Kigwangalla akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Juni 6, 2017.
Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Edwin Ngonyani  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Juni 6, 2017.
Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Juni 6, 2017.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe.Selemani Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Juni 6, 2017.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Juni 6, 2017.
 Mbunge wa Temeke (CUF) Mhe.Abdallah Mtolea katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma June 6, 2017.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Southern Highland kutoka Iringa wakiwa Bungeni kujifunza Shughuli mbalimbali katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 6, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe.Jaquiline Ngonyani akiuliza swali katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Juni 6, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe. Rose Tweve akiuliza swali katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Juni 6, 2017.
Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba  akizungumza jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira  Mhe.January Makamba  katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Juni 6, 2017.



( Picha zote na Daudi Manongi, MAELEZO,DODOMA)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 42, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA JUNI 06, 2017
YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 42, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA JUNI 06, 2017
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgZiPOjlruhdLqJ9kqcToYG4JCQnjZDWGCijDJRiPamgShV5vvoEybpzsIhDV5a_YwMV2f_qXVLAF4VKI7Ixs9UN-lko3bLRBf67_zCK34rlVK7Xb42S2sP83RhcxEbGx1QzMup4jujIZHi/s640/PIX+01+Naibu+Spika.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgZiPOjlruhdLqJ9kqcToYG4JCQnjZDWGCijDJRiPamgShV5vvoEybpzsIhDV5a_YwMV2f_qXVLAF4VKI7Ixs9UN-lko3bLRBf67_zCK34rlVK7Xb42S2sP83RhcxEbGx1QzMup4jujIZHi/s72-c/PIX+01+Naibu+Spika.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/yaliyojiri-katika-kikao-cha-42-mkutano.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/06/yaliyojiri-katika-kikao-cha-42-mkutano.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy